Its good,kuona bado tunaamini nguvu za MUNGU.Ukafanyiwe check up wajue damage kwanza. Kumbuka kuna nguvu za Mungu pia
Kama upo Dar nenda hospitali ya CCBRT msasani, nasikia wako vizuri kuhusu magonjwa ya macho.ntapata wapi huduma nzuri ya macho?
Dah kwa kweli ktk hospitali ambayo nimepoteza imani nayo ni CCBRT maybe sababu ya tatizo langu but nadhani muhimbili au KCMC panaweza kuwa bora zaidi kwa kuanziaKama upo Dar nenda hospitali ya CCBRT msasani, nasikia wako vizuri kuhusu magonjwa ya macho.