Tatizo hili litanisababishia ugumba

Tatizo hili litanisababishia ugumba

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,647
Reaction score
9,604
Salam wana jf doctor!

Tatizo la upungufu(uchache) wa mbegu za kiume(sperm) tatizo hili limenianza kama mwaka mmoja uliopita!
Nimejarb kuchunguza na kuomba ushauri nikashauriwa nile vyakula kama karanga,mihogo maziwa asali, kweli nilijitahid kwa miezi 3 bila kuona mabdiliko.
Tatzo limekua hadi nikiwa mzigoni bao la kwanza ni size ya kizbo cha soda,la pili pungufu zaid na la tatu huwa hazitoki kabisa,tena nahsi size ya uume inapungua!. Nilipata kuongea na dr.bingwa akaniambia nina infection kwenye via vya uzazi kwa hyo tiba yake ni Milion 3! Gharama zimenishnda naombeni ushauri wa tiba/au hosptali yenye gharama nafuu kdogo!
 
Mkuu jitahidi ufanyiwea uchunguzi na vipimo zaidi kwenye hospitali mbalimbali ili kujiridhisha zaidi kabla ya kuharakisha upasuaji/opetation.
 
Kafanye sperm analysis ndo watakuambia sperm count zako ziko ngapi acha kujitabiria vitu vya kuhisi na ukapata stress bure. Kumbuka kadri unavyofanya mapenzi kila siku ndo sperm amount zinvyopungua. Nenda hospital na fanya mazoezi na kula vyakula natural vyenye protein. Kama unakunywa pombe au unavuta sigara acha haraka.
 
Back
Top Bottom