Nitamkaribisha ili awashukuru ila pia ndio utakuwa mwanzo wake wa kuwa member humu
Mbona watu wamekushauri usimwoneshe hizi comments? Mengi yaliyosemwa ni kwa ajili yako. Labda kama hajui ID unayotumia. Vinginevyo sikushauri kabisa!
Ukimuuliza mara ya mwisho kumsifu mkewe ni lini ? au mara ya mwisho kutoka nae out ni lini ? au mara ya mwisho kumletea zawadi ni lini ? au hata mara ya mwisho kumkumbatia mkewe bila sababu yoyote ni lini ?Mwana kwetu,Huyu mwanamke kwanza umeshamshtaki kwa wazee wake (wazazi) na hata kwa ndugu zako (mama yako) so umeonyesha yeye ni mtu asiyefaa hana uwezo au ni dhaifu... Mtu ukisham-devalue kiasi hicho kw watu wake wote anakosa raha ya maisha
Ushauri:
1. Usipeleke shauri lolote linalohusu ndoa yenu kwa mtu yoyote zaidi ya nyinyi wawili
2. Lower your expectation usitegemee kwamba atafanya mambo makubwa kama unavyotaka
3. Akifanya chochote dogo appreciate sana..na uonyesha kuwa that is more than enough...
4. mwisho: men angalia je wewe unahusika vipi?
Ukimuuliza mara ya mwisho kumsifu mkewe ni lini ? au mara ya mwisho kutoka nae out ni lini ? au mara ya mwisho kumletea zawadi ni lini ? au hata mara ya mwisho kumkumbatia mkewe bila sababu yoyote ni lini ?
Unaweza kuambiwa hakumbuki ni lini,ndoa sio lele mama na haina fomula ni give and take.
BAK ukimwambia mtu kuwa saa zingine unampikia mkeo au anakuja nyumbani na kukuta ile sidiria na nguo ya ndani aliyoacha bafuni umemuoshea na kuanika wanaweza kushangaa,mwanamke ukimthamini unaweza kushangaa wema anaokufanyia,huyu sidhani hata mara moja amewahi tekenyana na mkewe sebuleni au kugombana na mito au kufukuzana ndani ya nyumba bila sababu NDOA NI RAHA MWANAKWETU FUNGUKA UTASHANGAA!Mueleze Mkuu! Mengine madogo madogo unamezea tu na kumuonyesha thamani kubwa mkeo. Tena msomi, anampigia mpaka pasi angeweza kabisa kudai akitoka kazini huwa anachoka sana na kazi ya kupiga pasi ifanywe na msaidizi wa ndani kama wanaye au kama hawana basi wamuajiri.
shantel nyumba hii inaendeshwa kwa 'memo' kama ofisi,this guy has to lossen-up.we fanya unayotakiwa kufanya, usimpangie mwenzako ratiba utafikiri mko shule, acha kila kitu kijiendeshe, na kama mambo ya muhimu yanaenda shukuru Mungu
Nikimfukuza atakuwa exile tu na sina mpango wa kuona tena kwa sababu ninyi wanawake woote mna vitabia vya aina moja hata kama mmesoma mna behave kama mwanamke yeyote wa kijijini. Tena ladies wengine wa vijijini ni waelewa kuliko wa mjini. hao wanaume wanasema nimeoa lulu ni wale wanaopenda dezo za kupewa pewa na wanawake fuatilia hawana reason nyingine.
Tatizo la kukremisha,mahusiano hayaendeshwi hivyo, anatakiwa aangalie vitu vya muhimu, coz huwezi mbadilisha mtu mzima kila kitushantel nyumba hii inaendeshwa kwa 'memo' kama ofisi,this guy has to lossen-up.
ha ha ha haaaaa!
sijafurahi ila nimecheka tu. mkuu haya matatizo ni ya kawaida kabisa hivyo ndivyo walivyo. tena wakiongezea na kisomo ndo hapatoshi kabisaaaa. na ukweli ni kwamba kudharau hizo tabia pia ni vigumu coz lengo la ndoa ni kupata utulivu sasa ikiwa anakuja ni vijambo vya kuudhi ni kwa asilimia zote ndoa inaingia dosari. cha kufanya bana kama ni wa kwetu ongeza mke mwengine hiyo ndo dawa tosha. kama wa kule basi vumilia tu cozz hata maandiko ya dini yameshaeleza kuwa wanawake ni mitihani. na kila unapovumia mitihani ya mke ndo rehma zenyewe za ndoa ila ukweli inafikia sehemu hayavumiliki na hutakiwi kukata tamaa japo kwamba hali ya kutokukata tamaa nayo inakatisha tamaa.. kama imefikia hapa na umeshasema naye basi chukua hatua. delete her paste another one....
Bintimkongwe jamaa is beyond help umeona kauli anayotumia 'nikimfukuza' badala ya 'tukitengana' au kuachana.Hiyo statement ya 'nyie wanawake wote mna vitabia' na tunaodai 'tumeoa lulu' eti tunategemea hao wanawake.Hapo kwenye red hebu niambie na nyinyi wanaume hizo tabia ambazo ziko nje ya ulimwengu huu mumezitoa wapi? Specifically wewe hapo mlalamikaji.Kama ulitaka wa nje ya dunia hii ungemuumba mwenyewe labda, fanya genetic modification uweke hizo tabia unazotaka akazaliwe kwenye test tube. Au labda ukaoe mzungu maana yeye hatoki kijijini.Grow up man!
haya matatizo na dhani wanawake wengi wanayo sijui huwa wanafanya kama hawajui vile au ni kiburi au ni udhaifu wao kweli tujue tunakaa na weza wetu walio wadhaifu sana hasa katika kurudia rudia mliokubaliana yasitendeke au msifanyiane
Simu sipotezi muda nayo kwani anafanya kazi she can do any how wala sina muda wa ku dig down. Ila mkuu mfano mmepeana majukumu very serious then unasafiri kikazi na ukirudi unakuta hakuna kitu chochote kilichofanyika na inakubidi wewe uanze kufanya kana kwamba hukuacha mtu home.ukimuuliza anaruka kimanga na yeye anakuwa mkali kuliko wewe. akikueleza kitu cha uwongo anataka uamini bila kuuliza uliza maswali na ukikosea ukamwambia hii sii kweli basi ni machafuko. hii ni hostile behaviour kwangu sana
we fanya unayotakiwa kufanya, usimpangie mwenzako ratiba utafikiri mko shule, acha kila kitu kijiendeshe, na kama mambo ya muhimu yanaenda shukuru Mungu