Tatizo hili ni la mke wangu tu au wanawake wote married?


It is a two way traffic. Nasi wanaume tunapenda kufanyiwa hayo...
 
She is so damn fantastic...........
 
Hapo kwenye bluu uko sahihi kabisa lakini hapo kwenye nyekundu nina wasiwasi una chuki binafsi na wanaume mama.
 
Kwa woote mliochangia mjadala huu nawashukuru kwa positive na negative COMMENTS . May Almighty God bless you abundantly. Ila kwa wale walio ni hukumu kwa chuki zao binafsi kwa wanaume kama Jestina na wale walionishauri nitafute kanyumba ka uchochoroni nawapa pole kwani imekula kwenu na sidanganyiki kufuata ushauri wa kishetani. Tumeanza upya na hopeful tutafika salama nashukuruni kunishtua !!!!!
 

SASA MKUU, NI NINI HIKI HASA MKEO ANACHOKUKWAZA HADI UFIKIE HATUA HIYO?? SBB KILA SIFA UNAYOITOA HAPA NAONA NI NJEMA. INAONESHA KUWA MAZURI YANAZIDI MABAYA. KAMA G. THINKERS WENGINE WALIVYOTANGULIA KUKUSHAURI NAMI PIA NAUNGA MKONO, WEWE JAMAA UNA BAHATI ILA UNAICHEZEA. MARA NYINGI HUWA HATUJUI THAMANI YA VITU/KITU TULICHONACHO HADI PALE TUNAKIPOTEZA. JICHUNGUZE MWENYEWE, MCHUKULIE HIVYO NANYI MTAISHI VYEMA NA HIYO FUTURE ITAKUWA NJEMA TU. ANGALIA HIZI FILAMU ZINA MAFUNZO SANA (1) WHY DID I GET MARRIED (Why Did I Get Married? - YouTube) (2)COUPLES RETREAT (Couples Retreat (2009) -Official Movie Trailer [HQ] - YouTube). UBARIKIWE
 
Pole kiongozi tatizo ni kwamba anaona muko sawa kielimu labda na kipato kwa baadhi ya wanawake hilo ni tatizo tosha, ndio maana baadhi ya wanaume wanapenda kuwa juu kielimu na kifedha hiyo inakupa nguvu mwanaume. lakini kama utakuwa sawa na labda bahati nzuri akupite kipato na elimu cha moto utakiona. Usichoke kumuombea na kumwambia pale alipokosea
 

Mwana Kwetu ... go for Oak's point!! Its a million dollar solution!! Wanaume wengi wanaojitambua are using this approach ... amani, furaha na vicheko ndani ya nyumba sio jambo la lelemama ... lina hitaji sacrifices!!
 

Dalili mbaya sana hizo mkuu, kama mtu huna furaha katika ndoa ni tatizo kubwa na mbaya ni kama haoni kuwa unakosa furaha katika hilo. Kibaya zaidi ni kama hatambui kuwa anafanya makosa. The theory behind ni kuwa fuatilia kwa karibu, something is behind all that, ukiona mwanamke ambaye alikuwa anakuheshimu na kadri muda unavyozidi kusonga anabadilika bila sababu za msingi kiasi cha kwamba mnaweza kujibizana kuna issue hapo. Lazima kuna kitu behind that confidence.
 
Ndugu mleta hoja kwanza pole sana,kwa sababu umejitambulisha kuwa ni msomi na mimi nakuandika kwa kizungu kuwa marriage is a complex institutions"haijalishi mna madgree mangapi,lakini napenda kukushauri kuwa kwenye ndoa kuna raha na karaha,yote ni sehemu ya ndoa, jifunze kuvumilia madhaifu ya mwenzi wako,na kwa mimi mkiristo tunaamini ndoa imejengwa kwenye msingi wa Mungu,tafadhali mshirikishe Mungu,leave alone third party,kwenye ndoa is very dangerous,na pia neno linasema tuishi na wake zetu kwa akili kwa sababu wao ni viumbe dhaifu,
 
Mwana Kwetu una bahati sana ya mke na pia wachangiaji wengi wamekuwa very serious kutoa mchango wao humu kuhusu ndoa yako. mkuu sauti ya wengi ni sauti ya Mungu hivyo badili mtazamo na kuchukulia hayo mambo kuwa ni madogo then songa mbele na kipenzi chako
 
Masters zenu ni za chuo gani?manake ianwezekana ikawa elimu ni tatitzo..
 

Tusichojua, kabla hamjaoana alikuwaje? maana miaka 12 sio midogo. Kuna watu wanakuwa wazuri sana kabla hawajapata exposure fulani, na hawa huwa wanabadilika with time kutegemeana na vitu gani anakutana navyo na yeye anarespond vipi. All in all what matters is your hapiness, tumia njia zote zilizopo kujaribu kumuelewesha kuwa lengo la wewe kuoana naye ni kuwa na furaha maana unampenda, unapata shida unapokosa furaha kwa ajili yake so for Gods sake, akupe furaha
 
Mke wako unakupenda sana ni wewe hujatambua jinsi ya kuishi naye. Mwanamke ni kiumbe zaifu. Unapaswa kufahamu wewe in kiongozi katika nyumba yako. Hupaswi kumdharau kwa namna yoyote ile.Anahitaji maneno laini ya kumwoshea unampenda na kumjali.
 
Po le sana mkuu, hizi ni changamoto za ndoa ambazo ki ukweli tunatakiwa ku-share experiences. Kwa kuwa umesema kwa wakubwa zake anasifika sana kwa uchapa kazi, it is very likely akawa always anataka ku-maintain hiyo status hata kama inamvurugia utaratibu wa mipango yenu ya maisha na majukumu mnayopeana. Watu wa aina hii (hata wanaume wapo) wanakuwa very smart kazini kwao na mara zote wanataka ku maintain hiyo hali bila kujali athari kwa familia (e.g. kutokuwa na muda mwingi na mwenza wake, watoto wake, friends n.k). Hivyo jaribu kulifanyia kazi hilo.

 
Niamini mimi,wewe ni mkorofi.Period.Wenzako tunashinda msikitini tukiomba tupate mke kama mke hatujaliwi.
 
<br />
<br />
Yaani wewe ungekuwa mme wangu ningekuonyesha adabu,MIMI KWEnye nyumba sitoki haijalishi umejenga wewe.NAJUA MLANGo Wa kuingilia wa kutokea siujui

Kina Irene Uwoya utawajua tu. Wanapenda sana kuvuna wasivyopanda. Makupeeee ... wasipoolewa maisha mgogoro ile mbaya
 

Self centered your bra!

Hivi mbona wanawake wengine uwezo wa kufikiri unakuwa mdogo sana? Jamaa kashakwambia hii ishu imeshakaliwa na hata wazazi wa pande zote mbili na imeonekana mwanamke ana tatizo. Pengine ungemwambia avumilie, lakini kumuita self centered wakati case yenyiwe iko wazi inaonyesha hata wewe unamatatizo. Mnaangalia sana TV na big brother nyie kupe ...

Yaani wewe hutaki mwenzako awe selfish, wakati wewe mwenyewe ni selfish wa kutupwa. Una-deman appreciation, wakati wewe hutaki kutoa appreciation ... wanawake wa dot com utawajua tu ... halafu wanashangaa wanatalikiana all the time siku hizi.
 
hayo mapungufu ndio ndoa yenyewe. bali mfuatilie lzm kuna linalomshughulisha mbali na wewe. aidha ukishindwa kufuatilia, bc usichoke kuelekeza kwani ktk wanawake 10 , mmoja ama wawili ndio wako active . ni maumbile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…