Pole bro, najua utakuwa unapata shida kweli ndo maana umeamua kutushirikisha. Ushauri wangu ni kwamba never giv up, usimwone mke wako educated ukadhani atamaster kila kitu mambo ya ndoa ni commitments zisizohitaji cheti except adherence. Kamwe usikubali kufanya anayotaka at the same time usiwe mkali sana pale anapokiuka, be neutral, wanawake wengi wanafanya vitu kwa kujaribu hatimaye wanaadapt situation. For the case of ur wife hafanyi makusudi ila she does not care, na hili ni tatizo kubwa kwani wanawake ndio wenye nyumba na ni watu wa kupenda maendeleo ya nyumbani na kama yuko hivyo nakili kuwa ni tatizo. Cha msingi mwachie uwanja pale nyumbani na wala usiwe wa kwanza kuintroduce topic/order ila mweke kwenye mazingira fulani ya kuanzisha topic unayotaka (facilitate her wishes in what you want be) then, mara nyingi tunaoa wanawake from unknown grounds yaani familia wanakotoka, mi pia nimeoa mwanamke kwa kukutana naye shuleni she is hard worker in the office but zero at home affairs, alikuwa apendi kupika, kufua, kusafisha nyumba. Hii si kuwa hakutaka bali alikuwa hajui, kazi nyingi kwao zilifanywa na mahousegirl/boys, lakini mara nyingi nilijitahidi kutoajili wafanyakazi na nilikuwa nikifanya kazi mwenyewe tena kwa furaha mpaka alikuwa akiona aibu, hivi leo kazi anafanya mwenyewe. (May be they have the same feather)