Tatizo hili nini chanzo chake kwenye Xtrail (2005)

Tatizo hili nini chanzo chake kwenye Xtrail (2005)

Planner

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
348
Reaction score
148
Habari wadau,

Kuna jamaa yangu anamiliki Nissan Xtrail (2005) hapa mtaani,leo Asubuhi amewasha gari inawaka bila tatizo,mafuta yako ya kutosha (nusu tank),ila baada ya kuwasha akiweka reverse (R) au D baada ya dakika gari inaanza kama kumiss au kutaka kuzima.Hii inaweza kuwa ni tatizo gani au chanzo chake nini na ufumbuzi wake.

NB: Kwenye dashboard hakuna taa yoyote ya warning,pia kwa mara ya mwisho alilitumia jana na halikua na mushkeli wowote.

Wakuu Mshana jr, lege et al.....Karibuni tumsaidie mdau.

Natanguliza shukrani.
 
SWALI LA KWANZA je silensa yake ipo kwenye ngapi? gari ikiwa kwenye parking? na akiiweka d inakuwa kwenye ngapi?? hapo kuna tatizo mahala kama sio hewa basi mafuta?? kama ni hewa cheki air clener or throttle kama ni mafuta basi fuel filter nozer or pamp.

ila jibu kwanza swali
 
Mwambie aipeleke gereji ikapimwe kwenye kompyuta.
sio magonjwa yote yanapimwa na mashine mkuu? harafu hizi mashine zimefanya mafundi wawe wazembe sana na kuibua mafundi wengi kama uyoga.

kuna matatizo mengine ni hardware sio softwere. na hapo ndio gari nyingi hufia gereji
 
na upimaji wa mshine yapaswa upate mpimaji anaye faham haswaa kutumia mahine kiundani na mtu anayeweza hivyo basi ni fundi haswaa ambaye anaweza tengeneza gari bila kutumia mashine?/ mfano anapima ratio ya mafuta na hewa wakati gari ipo silensa na anapima akishaweka gia anaangalia tofauti?/ kwa hiyo hapo lazima ufahama ratio ya hewa na mafuta gari ikiwa kwenye ubora wake huwa inakuwa ngapi?? mafundi wengi wa mashine wanaweza kupima gari ikiwa inawaka taa.harafu na mashine za kupimia pia ni tatizo jingine
 
sio magonjwa yote yanapimwa na mashine mkuu? harafu hizi mashine zimefanya mafundi wawe wazembe sana na kuibua mafundi wengi kama uyoga.

kuna matatizo mengine ni hardware sio softwere. na hapo ndio gari nyingi hufia gereji
Sema sio magari yote yanapimwa na mashine.. We kama unamiliki Fiat, DCM, Mgongo wa Chura, Toyota Stout etc sahau kuhusu mashine 😀😀😀
 
Sema sio magari yote yanapimwa na mashine.. We kama unamiliki Fiat, DCM, Mgongo wa Chura, Toyota Stout etc sahau kuhusu mashine 😀😀😀
hahaha gari alilokuwa nalo linapimika na mashine lkn sio magonjwa yote yanapimwa na mashine??/ na ili kuamini hilo tatuta baadhi ya thread humu utasikia wadau wanavyo lalamika kusumbuliwa na magari na wanakwambia washapima sana hakuna ugonjwa lkn gari linamatatizo?

ili kudhibitisha nikisemacho naweza kukupa mfano hari kama rav 4 old model kwenye gearbox thydrolic ikiwa kidogo gari haiwezi kubadili gia au itakuwa inachelewa au nzito inakosa nguvu na kamwe hakuna taa itakayo waka na hata ukipima na mshine hutakuta ugonjwa wowote.
 
SWALI LA KWANZA je silensa yake ipo kwenye ngapi? gari ikiwa kwenye parking? na akiiweka d inakuwa kwenye ngapi?? hapo kuna tatizo mahala kama sio hewa basi mafuta?? kama ni hewa cheki air clener or throttle kama ni mafuta basi fuel filter nozer or pamp.

ila jibu kwanza swali
Mkuu lege;

Silensa amesema ipo kawaida hata akiweka D..(anasema mshale wa rpm unakuwa juu kidogo ya 0 anapokua ameweka R au D).
Pia amesema gari haizimi ila ndo missing flan ya kushtua..ila akitembea umbali kidogo tatzo linaisha...kuna jamaa kamwambia sensor labda....je nini hicho..mtazamo wako?
 
Hakikisha spark plugs Kama zote ziko active yawezekana gari ilioshwa zikaingiwa maji. Mfumu wa hewa kwa x trail airflow sensor ingeripoti na throttle ingeripoti pia but ktk spark plug Kama zile ignation coil ziko safi na plug ni mbovo control hairipoti. So hakiki plugs Kama ziko active. Na Kama no kubadili hakikisha umebadili kwa No elekezi za plug na manufactures. As LEGE said machine yatakiwa iwapo imeleta signal katika dash board other wise akili kumkichwa fundi
 
Back
Top Bottom