sio magonjwa yote yanapimwa na mashine mkuu? harafu hizi mashine zimefanya mafundi wawe wazembe sana na kuibua mafundi wengi kama uyoga.Mwambie aipeleke gereji ikapimwe kwenye kompyuta.
Sema sio magari yote yanapimwa na mashine.. We kama unamiliki Fiat, DCM, Mgongo wa Chura, Toyota Stout etc sahau kuhusu mashine πππsio magonjwa yote yanapimwa na mashine mkuu? harafu hizi mashine zimefanya mafundi wawe wazembe sana na kuibua mafundi wengi kama uyoga.
kuna matatizo mengine ni hardware sio softwere. na hapo ndio gari nyingi hufia gereji
hahaha gari alilokuwa nalo linapimika na mashine lkn sio magonjwa yote yanapimwa na mashine??/ na ili kuamini hilo tatuta baadhi ya thread humu utasikia wadau wanavyo lalamika kusumbuliwa na magari na wanakwambia washapima sana hakuna ugonjwa lkn gari linamatatizo?Sema sio magari yote yanapimwa na mashine.. We kama unamiliki Fiat, DCM, Mgongo wa Chura, Toyota Stout etc sahau kuhusu mashine πππ
Mkuu lege;SWALI LA KWANZA je silensa yake ipo kwenye ngapi? gari ikiwa kwenye parking? na akiiweka d inakuwa kwenye ngapi?? hapo kuna tatizo mahala kama sio hewa basi mafuta?? kama ni hewa cheki air clener or throttle kama ni mafuta basi fuel filter nozer or pamp.
ila jibu kwanza swali