K karma alvin Member Joined Jan 9, 2013 Posts 51 Reaction score 8 Nov 1, 2013 #1 naomba mnifahamishe eti mtoto kutokwa na udenda kwa mtoto ambae hakuwahi kutokwa na udenda wakati akiwa na umri wa miezi ni tatizo ? nakama ni tatizo linasababishwa na ninii?
naomba mnifahamishe eti mtoto kutokwa na udenda kwa mtoto ambae hakuwahi kutokwa na udenda wakati akiwa na umri wa miezi ni tatizo ? nakama ni tatizo linasababishwa na ninii?
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,683 Nov 1, 2013 #2 mtoto ana umri gani?