Kaka uliposema group kidogo sijakuelewa ,,,,
Lakini hay ni matatizo ambayo huwapata watu wote wakubwa kwa watoto, na mars nyingi inaweza kuwa ni allegy ambayo either yasababishwa na vyakula , au vitu ambavyo vinamzunguka mtoto namaanisha , nguo anazovaa , nyumba yenye unyevu au manyoya ya wanyama ,, tatizo hili husababisha kujaa kwa nyama kwenye koo pamoja na puani( nasal polyps) na tonsils. Ushauri mpeleke mtoto kwa . Dentist au ENT specialist kwa msaada,.tatizo linatibika usihofu