unatembelea website za vyuo ulivyochagua afu unakuta majinaTulia, bado hawajapost mkuu.
Ndugu Zangu Napata Wakati Mgumu Kujua Chuo Nilichopangwa,nipo Interior Sna Naomb Yeyote Alofanikiwa Kufungua List Aniangalizie
Badru M Alfan
Index No. S.0939.0018.2003
Ni kweli, ila kwa mujibu wa tamko rasmi la taasisi husika (NACTE & TCU) WAMESEMA UKIACHA watu wa diploma na cetificates, waombaji wa undergraduate wanatangazwa na vyuo kwa utaratibu ambao si rasmi kwa sababu ambazo wamesha sisema tangu jana. Ndo maana utakuta majina unayokuta kwenye web za vyuo ni batch moja moja, mbili n.k.......hivyo kutuongezea presha wale ambao hatujikuti huko, RASMI kabisa yatatolewa na TCU wenyewe kwa awamu mbili,
NB: Awamu ya pili itawahusisha wale 12,867 tu, na chezo linaisha!!!!!!!!!!
Jamani tutulie, tusipoangalia hawa jamaa wata tuua kwa presha!!!!! LOL
inamaana majina yanayotolewa na vyuo ni first round selection tu? second round hadi tcu?
inamaana majina yanayotolewa na vyuo ni first round selection tu? second round hadi tcu?
Si utulie usubiri majibu rasmi yatawekwa kenye profile yako wala huna haja ya kuumiza kichwa
hata mimi nimemuelewa hvyo.
Hapo umenipa akili mkuu cZ hii njia yao nindefu kama balabala ya mbinguni.
Duuuuuuh! Kama ......ya mbinguni ,ngoja ntacheka bdae.