mndewaerasto
Member
- Jun 26, 2015
- 58
- 37
Wakuu samahani koo langu linakaba sana hadi kuna kipindi nameza kwa shida sijawahi kunywa pombe wala kuvuta sigara naomba mnisaidie tatzo ni nni na tiba yake ni nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maelezo hayajitoshelezi.Wakuu samahani koo langu linakaba sana hadi kuna kipindi nameza kwa shida sijawahi kunywa pombe wala kuvuta sigara naomba mnisaidie tatzo ni nni na tiba yake ni nini
Ni muda wote au inatokea kwa kipindi tofauti?Wakuu samahani koo langu linakaba sana hadi kuna kipindi nameza kwa shida sijawahi kunywa pombe wala kuvuta sigara naomba mnisaidie tatzo ni nni na tiba yake ni nini