TATIZO: Koo langu linakaba sana hadi kuna kipindi nameza kwa shida

mndewaerasto

Member
Joined
Jun 26, 2015
Posts
58
Reaction score
37
Wakuu samahani koo langu linakaba sana hadi kuna kipindi nameza kwa shida sijawahi kunywa pombe wala kuvuta sigara naomba mnisaidie tatzo ni nni na tiba yake ni nini
 
Wakuu samahani koo langu linakaba sana hadi kuna kipindi nameza kwa shida sijawahi kunywa pombe wala kuvuta sigara naomba mnisaidie tatzo ni nni na tiba yake ni nini
maelezo hayajitoshelezi.
Lakini pia uchumguzi ni kitu muhimu, so onana na daktari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…