Tatizo kubwa la kufeil kwa 4m4 ni matokeo mabovyo yaliosababishwa na Serikali ya CCM akiwemo Kikwete

Mboko

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
1,095
Reaction score
293
Nasema tatizo kubwa ni serikali na sio wanafunzi,walimu,walezi na wazazi tatizo kubwa sana ni serikali hii ya Ccm ambayo ndio imetukisha hapa tulipo nasema hivyo ili tuelewane nafahamu kuna watu watakuja na majibu ya kisiasa lakini hili halihitaji siasa japokuwa nimetaja CCM,Nilitaja CCm kwa kuwa wao ndio walioleta mfumo huu DHAIFU iweje katika nchi za East Africa Tanzania iwe ya wmisho kwa kuwa na bajeti mbaya ya Elimu yaani inawekeza kwenye Elimu uhela udogo udogo yaani imepitwa hata na Rwanda ambao hawana rasilmali nyingi kama Tanzania.
Mara nyingi tuliangalia Bunge likipiotisha bajeti ya Elimu huku Upinzani ukisema hii bajeti ni ndogo sana haitoshelezi mahitaji ya Elimu lakini Wabunge wa CCm ambao wao wako zaidi kimaslahi niseme hivyo na kulindana/kulinda mabosi wao na chama chao wao ndio wamekuwa mstari wa mbele kusema Bajeti ni nzuri sana,utamkuta mtu na Degree zake anasimama na kuisifu bajeti na kusema hii bajeti ni nzuri kuliko zote kwa East Afrika wakati hata hajafanya uchunguzi ndio maana nasema wakulaumiwa ni Serikali.
Mara ngapi walishauriwa kuwa na walimu wenye viwango na kama tujuavyo ukiwa na mtu wa kiwango you have to pay him/her nice kwa kuwa ana viwango lakini serikali hii ilikuwa ikipuuza na kuwazarau walimu then hata wale wa viwango wanadiriki kuacha kazi za serikali na kwenda Private na tumeona Private ziko juu kuliko hata zile za Serikali ambazo tumezoea kuambiwa ni za vipaji maalumu.So serikali hii ndio chanzo cha kufeil na wanafanya hivyo makusudi li wajinga wawe wengi na wapate jinsi ya kuwatawala na kuwalubuni.shame on you Serikali hii.
Dr Jumanne Shukuru Kawambwa you must resign so that the others they will follow you.
 
mwaka huu wanadai fake halikutoka ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…