Ufahamu mdogo wa mambo na kikwazo kikubwa cha maendeleo kwa watanzania nimegundua ni uvivu wa kujisomea,,watanzania wengi utakuta wakimaliza masomo yao basi wamefunga kurasa za vitabu vyao,,wanajitapa wamesoma kumbe bado ni mambumbumbu ea mambo mengi,,wataanzania hata magazeti tunasoma vichwa vya habari tu na kuanza kujifanya eti tunalijua jambo kumbe tunajidanganya..hutakuta mwaka unapita mtanzania hayasoma kitabu hata kimoja,,hua nashangaa sana ,,UMBUMBUMBU WA MAMBO NDIO KIKWAZO CHA MAENDELEO,,TUPENDE KUJISOMEA VITABU MBALIMBALI ..