Habari za asubuhi wana jukwaa nina tatizo moja nimeliona kwa siku hizi mbili jicho linakuwa linawasha na nilipoangalia jicho moja nikaona zile nyama zinazokuwa pembeni kwenye kona ya jicho karibu na pua vimesogea mbele kidogo na ndiyo zinafanya jicho kuwashwa.
Naomba kuuliza ni dalili ya ugonjwa gani na kama kuna dawa naweza kuitumia ni ipi au lazima niende hospital? nashukuru nikipata majibu ya hili