Password ya HESLB nimeisahau! Sasa kuna sehemu ya ku-reset password; ambapo wameandika kwamba kuna njia 3, sasa ile njia ya kwanza imenishinda! Tatizo langu ni kwamba nashindwa kutumia njia ya pili iliyo rahisi ambayo ni ' reserting pasword by email' nashindwa kuingia namba 2! Kwenye system menu inakuja kuresert pswd kwa kutumia njia ya kwanza! Nifanyeje ili kwenye menu ije ile no. 2? Au ndugu zangu mnashaurije? Af natumia phone not a computer.