ndugu wana jamii mimi mwenzenu nimepata tatizo, nimeshajirejista tcu ila kulog in inafeli, hata vyuo sijachagua, tafadhali naombeni msaada wenu nifanye nini! muda unaniishia. please nisaidieni

Angalien ujumbe unaokuja, kama umekosea password halafu wekeni nijue niwasaidiaje. Kuhusu vocha haina haja labda uje ujumbe kuwa hawaitambui hiyo vocha. Weken ujumbe unaokuja ukitaka ku log in