Tatizo kwenye mfumo wa chakula

Jyhamah Juma

Senior Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
162
Reaction score
77
naomba kusaidiwa ukiwa na tatizo kwenye mfumo wa chakula unakuwa na dalili zipi,madhara yake ni yapi na ni vipi mtu atajitibu ama kutibiwa?
 
Wewe Ni mwanafunzi Wa udaktari au mgonjwa!?

Swali lako Ni pana.. Na limekaa "KINOKOO"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…