Tatizo la AC kuacha kutoa ubaridi gari inapo changanya au kuna jua ukitembea kwa muda

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,557
Reaction score
1,787
Naomba kujua tatizo hili lina sababishwa na nini. Nikitembea mfano speed ya 80 kwa dakika 5 hivi hasa wakati wa mchana AC hatoi ubaridi kabisa nikupunguza mwendo mfano speed ya 50 tuu kama sekunde 40 mpaka dakika 1 inakuwa sawa.

Mfano wakati wa asubuhi inakuwa sawa kabisa tena kali ikifika mchana tuu , inaanza kuacha kufanya kazi. Nime badilisha thermal start lakini bado wala haigandishi lile bomba linakuwa la joto kabisa wakati ikiwa haifanyi kazi.

Na nimegundua wakati ikiwa hivyo compressor inakuwa haizunguki nikifungua boneti dakika chache ina fanya kazi.

Shida ni nini?
 
Hilo TATIZO linahitaji fundi Tu hakuna namna inawezekana shida ni belt inashindwa kuzungusha compressor
 
ga
Naomba kujua tatizo hili lina sababishwa na nini. Nikitembea mfano speed ya 80 kwa dakika 5 hivi hasa wakati wa mchana AC hatoi ubaridi kabisa nikupunguza mwendo mfano speed ya 50 tuu kama sekunde 40 mpaka dakika 1 inakuwa sawa.

Mfano wakati wa asubuhi inakuwa sawa kabisa tena kali ikifika mchana tuu , inaanza kuacha kufanya kazi. Nime badilisha thermal start lakini bado wala haigandishi lile bomba linakuwa la joto kabisa wakati ikiwa haifanyi kazi.

Na nimegundua wakati ikiwa hivyo compressor inakuwa haizunguki nikifungua boneti dakika chache ina fanya kazi.

Shida ni nini?

MKUU NA MIMI GARI INA TATIZO KAMA LAKO SIJUI USHAPATA UVUMBUZI
 
Naomba kujua tatizo hili lina sababishwa na nini. Nikitembea mfano speed ya 80 kwa dakika 5 hivi hasa wakati wa mchana AC hatoi ubaridi kabisa nikupunguza mwendo mfano speed ya 50 tuu kama sekunde 40 mpaka dakika 1 inakuwa sawa.

Mfano wakati wa asubuhi inakuwa sawa kabisa tena kali ikifika mchana tuu , inaanza kuacha kufanya kazi. Nime badilisha thermal start lakini bado wala haigandishi lile bomba linakuwa la joto kabisa wakati ikiwa haifanyi kazi.

Na nimegundua wakati ikiwa hivyo compressor inakuwa haizunguki nikifungua boneti dakika chache ina fanya kazi.

Shida ni nini?
Mimi nilikua na tatizo kama lako kwenye chaser avante maarufu kama gx 100 ya chaser, tatizo hilo linachangiwa na vitu kadhaa ikiwepo condensor, compressor au fan/ fan guard!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo tatizo lisikuumize kichwa ni dogo sana.yaani unaweza shangaa hata wewe mwenyewe.maana ni kitendo cha muda mfupi mpaka basi.

So kwanza nikupongeze kwa kugundua tatizo wengine hata huwa hawajui hilo.yaani mpaka mambo yanaharibika zaidi ndo wanapeleka kwa fundi.

Hongera sana.sasa hapo muite fundi akuelekeze maana mimi sina idea kabisa na tatizo hilo. Hongera sana
 
Kwenye AC kuna mambo mawili hewa iingie kutoka nje au hewa ya ndani ibaki humo humo..mimi nawekaga hewa itoke nje wakati wa mchana ili niweze kupata baridi kimtindo lazima niikimbize gari ikifika zaidi ya 60km/h inakua fresh ingawa nakua nimeweka full kabisa maana joto mchana hua si mchezo
 
Back
Top Bottom