Naomba kujua tatizo hili lina sababishwa na nini. Nikitembea mfano speed ya 80 kwa dakika 5 hivi hasa wakati wa mchana AC hatoi ubaridi kabisa nikupunguza mwendo mfano speed ya 50 tuu kama sekunde 40 mpaka dakika 1 inakuwa sawa.
Mfano wakati wa asubuhi inakuwa sawa kabisa tena kali ikifika mchana tuu , inaanza kuacha kufanya kazi. Nime badilisha thermal start lakini bado wala haigandishi lile bomba linakuwa la joto kabisa wakati ikiwa haifanyi kazi.
Na nimegundua wakati ikiwa hivyo compressor inakuwa haizunguki nikifungua boneti dakika chache ina fanya kazi.
Shida ni nini?
Mimi nilikua na tatizo kama lako kwenye chaser avante maarufu kama gx 100 ya chaser, tatizo hilo linachangiwa na vitu kadhaa ikiwepo condensor, compressor au fan/ fan guard!Naomba kujua tatizo hili lina sababishwa na nini. Nikitembea mfano speed ya 80 kwa dakika 5 hivi hasa wakati wa mchana AC hatoi ubaridi kabisa nikupunguza mwendo mfano speed ya 50 tuu kama sekunde 40 mpaka dakika 1 inakuwa sawa.