Tatizo la acid reflux na tezi kuvimba

MESSI

Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
38
Reaction score
2
Naomba kuuliza kama kuna uhusiano wowote kati ya acid reflux na matezi kuvimba chini ya mataya (submandibular lymph nodes)?

Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la acid reflux kwa kipindi cha miezi 5 na nimekuwa nikitumia dawa(antiacids &antihistamines) na shida imepungua..

Ila kipindi chote hicho matezi yamevimba kidogo(1cm),hayaumi,yako firm na sina homa.
Naomba msaada wa kitaalamu kwenu wadau.
 
Mzizi
Mzizi mkavu nakutafuta sana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…