hahaha acha hizo kaka!! mbna hata wewe ulileta application zako pale leo!! tulikuwasote kwenye folen...acha kujifanya matawi...!!!
Aiyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!! Nimesahau kupeleka application yangu. Du hii weekend ilikuwa noma sana. Basi tena!Nimefika hapa NHIF kushughulikia vitambulishi nikashangaa idadi ya kutisha ya watu wanaoingia na kutoka
Nilipo dadisi nikaambiwa leo ndio siku ya mwishi kuwasilisha maombi
Yaani msusururu wa vijana na bahasha mkononi wanazidi kuingia vituoni nje wamejaa wenyewe watupu
Nimeambiwa hali ingawa imzidi leo lakini almost ni toka tangazo litolewe la kazi
Amakweli ajira ni tatizo kwa vijana na wasomi wetu
Poleni sana mfikirie na kujiajiri pia
hivi watu hawajakoma na usanii wa hao NHIF?