MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Tatizo la ajira nchi hii linahitaji sana Viwanda ambavyo ni Labour Intensive na sio Machine Intensive.
A to Z Arusha ni moja ya viwanda vikubwa sana vya Labour Intensive, linapo kuja swala la kuajiri, Watanzania wengi tunaichukulia poa kile kiwanda lakini Kile kiwanda linapo kuja swala la ajira hakina mpinzani nchi hii.
A to Za kikiwa ni kiwanda kinacho zalisha bidhaaa mbalimbali kuanzia Neti za mbu, Nguo, Vifaa ya Kilimo, vyomvo vya plastic na kadhalika kimeajiri Vijana wengi sana kuliko kiwanda au taasisi nyingine private.
A to Z ina zaidi ya Wafanyakazi 10, 000 hii ni idadi kubwa sana na hakuna hata kuwanda chenye nusu ya hao nchi hii.Sina uhakika hata vile ya Bia kama vina nusu ya hao.
Kama tungekuwa na Viwanda ya aina ya A to Z 500 ingekuwaje?
Chukulia Viwanda 500 x 10, 000 ni wafanyakazi Million 5 hii ni idadi kubwa sana na ingecutt sana tatizo la ajira nchi hii.
Serikali inapaswa kuwa na vigezo vya aina ya viwanda vinavyo hitajika, Viwanda ambavyo ni Labour Intensive vipewe kipaumbele cha kipekee ikiwa ni pamoja na misamaha ya Kodi.
Tuna vuwanda vingi unakuta ni full mashine na ubakuta kiwanda kina wafanya kazi 10, kiwanda kinawafantakazi 50 na hao ni wawekezaji wametoka nje kuja kuwekeza kwenye kiwanda chenye wafanyakazi 50.
Tuna ututili wa Viwanda na tunapewa takwimu kila mara kwamba viwanda 2000 maea viwanda 3000 lakini njoo kwenye uhalisia wa nguvu kazi pale, unakuta impact na hakuna kabisa.
Tunaweza punguza sana tatizo la ajira tukiwa na Viwanda aina ya A to Z hivi ndo viwanda vinavyo weza kusaidia kweli tatizo la ajira Tanzania na sio viwanda ya kuwa na staffu 6.
Tanzania Investment Centre na Mamalaka zingine nazani zi promote sana viwanda ambavyo ni Lavour Intensive , na hawa wapewe kila aina ya Upendeleo unao hitajika.
Hata kama vitakuwa na malipo Duni still inasaidia sana kwa sababu hata Staff asilimia 90 yao ni Unskilled labour ambao ndo wanao fanya kazi kwenye uzalishaji. Hawa ni vijana walio maliza kidato cha nne na Sita.
Mama anapo kuwa anafungua mipaka ni bora oia akawa anaainisha aina ya viwanda vinavyo hitajika hasa kwenye swala la ajiea make kama kiwanda kitakuja na Roboti za kufanya kazi haitakuwa na impact kwa jamii. Leo hii impact ya A to Z iko wazi kabisa.
Nakaribisha maoni, maswali.

Upvote
15