amoebiasis ukutumua dawa na ikawa inajirudia rudia juka kabisa hata ukifanyiwa maombi ukapona itarudi tu maana tatizo si UCHAFU kwenye chakula na maji + vyombo unavyolia au kuvywea.
Vidonda vya tumbo, humu post zake ni nyingi sana, tatizo letu huwa ni moja tu, 'LISHE/ULAJI MBOVU wakati wa matibabu na baada ya matibabu Hili ndio mpaka huwa linatia uvivu kumueleza mtu maana wengi wanaumia ndio, uanaaza dawa ila haachi ulaji mbovu, utapona vipi!!! , wengine wakipata tu nafuu wanarudi kulekule kwenye vyakula vilivyowatesa, lazima tatizo lirudi. Mkuu zingatia sana mashauri ambayo uliishawahi kupewa kuhusu vyakula, naamini kama vimekusumbua kwa muda mrefu lazima uliishashauriwa sana na wataalamu.