Tatizo la Bongo movie muda wote wapo kwenye maigizo

usiambini

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
627
Reaction score
558


Wolpee

September 2015 anavishwa pete na mtu mwengine.

July 2016 yupo na mwengine sio wa pete.

September 2015 anasikitika walosaliti kurudi CCM

July 2016 anarudi CCM.

hakuna tofauti movies zao na maisha yao.
 
Huyu hana hela ya kununua lace wig, mayonize hawezi hayo maji marefu
 
Wanasiasa nao wanaigiza hawapo serious na kila mtu anaangalia maslai yake kama wafanyavyo wanasiasa, kwa hiyo usimshangae wolperstylish ametumia style ile ile wanayotumia wanasiasa wetu watanzania.
 
Kwel muda wote wapo maigizon. Hlf wanataka waheshimiwe kwa upuuzi huo watajiheshimu wenyewe
 
Hao wazee walivyomtolea macho, lazima wamtafune

Huwa siwachukulii serious sana hawa bongo move hata bongoflevas
 
Ndio maisha waliyoyachagua.

Fainali uzeeni.
 
Huyu anabadili dini kila apatapo mwanaume kwenye dini aendayo, itakuwa vyama?! Huko kaenda kwa kuwa BOSI WAO WA WBC ndiko anapata pesa nyingi so lazima na vijakazi wake watii amri ya bosi wao, wote wanaimba kuisifu hata kama moyoni hawaikubali, kuajiriwa si mchezo eti hata ukiwa muislam ukiajiriwa kuuza supermarket yenye sausage za nguruwe utazishika sana tu.
 
Jamaniee,hivi mnajua Wolper yupo humu jf?Hivi mnadhan akiona hizi comment anajiskiaje?Kama vp tumdiscuss pm
 
Sijawahi kuwachukulia siriaz bongo muvi so sijashangaa
Hivi bongo movie ndio nini kwanza?

sababu naskiaga mara swahilihood n.k

Na waigizaji wao eti wanaigizaga mpaka kwenye kujibu maswali wakiwa kwenye interview.

High heels wananunuliga dubai alafu wakiugua wanaenda kutibiwa Amana Hospital.

Kazi kweli kwelii
 
Pesa pesa lakini nyie mmesahau kuwa team diamond yote ni ccm so wc wote ni ccm alafu yule dogo ndio analea usishangae yy kuwa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…