Tatizo la Chango kwa Wanaume: Ni zipi Dalili, Sababu na Madhara yake?

Tatizo la Chango kwa Wanaume: Ni zipi Dalili, Sababu na Madhara yake?

Tatemahunda

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
232
Reaction score
91
Wakuu salaam,

Naomba kuelimishwa kuhusu hili tatizo la Chango kwa wanaume. Nikimanisha sababu, dalili, madhara yake na ikibidi Tiba yake.
 
kufanya mapenzi na mwanamke mwenye chango.Dawa nikutafuta mitshamba
 
wakuu salaam,. naomba kuelimishwa kuhusu hili Tatizo la chango kwa wanaume,... nikimanisha sababu, dalili, madhara yake na ikibidi tiba yake...
Chango la Wanaume ni Maradhi ya ngiri (Hernia) uvimbe chini ya Tumbo karibu na kinena kwa upande wa kulia na maradhi yakishuka yanakwenda mpaka kwenye pumbu moja haswa pumbu ya kulia na maradhi yanageuka kuwa ni busha angalia picha hapo chini. Na Ukiwa na Mshipa wa ngiri unakuwa pia na upungufu wa nguvu za kiume.

attachment.php

Maradhi ya ngiri................

attachment.php

Maradhi ya busha Pumbu moja kuvimba.
 
Attachments

  • hernia.jpg
    hernia.jpg
    80.2 KB · Views: 1,970
  • different  -hernias.jpg
    different -hernias.jpg
    22.5 KB · Views: 1,925
MziziMkavu

Akhsante mkuu,. hivi kuna ukweli Kua Tatizo hili laweza sababisha mtu Kua na tumbo kubwa na pia kibamia (penis)??
Ni Kweli ukiwa na tumbo kubwa unakuwa na kibamia au ukiwa unapiga punyeto uume wako utasinyaa na utakuwa na upungufu wa nguvu za kiume ukiwa na swali au tatizo lolote nitafute kwa kunitafuta Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
Chango la Wanaume ni Maradhi ya ngiri (Hernia) uvimbe chini ya Tumbo karibu na kinena kwa upande wa kulia na maradhi yakishuka yanakwenda mpaka kwenye pumbu moja haswa pumbu ya kulia na maradhi yanageuka kuwa ni busha angalia picha hapo chini. Na Ukiwa na Mshipa wa ngiri unakuwa pia na upungufu wa nguvu za kiume.

attachment.php

Maradhi ya ngiri................

attachment.php

Maradhi ya busha Pumbu moja kuvimba.
Inasababishwa na nini mkuu
 
Shida hujibu meseji ukitumiwa.

Back
Top Bottom