Tatemahunda
JF-Expert Member
- Sep 14, 2013
- 232
- 91
Chango la Wanaume ni Maradhi ya ngiri (Hernia) uvimbe chini ya Tumbo karibu na kinena kwa upande wa kulia na maradhi yakishuka yanakwenda mpaka kwenye pumbu moja haswa pumbu ya kulia na maradhi yanageuka kuwa ni busha angalia picha hapo chini. Na Ukiwa na Mshipa wa ngiri unakuwa pia na upungufu wa nguvu za kiume.wakuu salaam,. naomba kuelimishwa kuhusu hili Tatizo la chango kwa wanaume,... nikimanisha sababu, dalili, madhara yake na ikibidi tiba yake...
Ni Kweli ukiwa na tumbo kubwa unakuwa na kibamia au ukiwa unapiga punyeto uume wako utasinyaa na utakuwa na upungufu wa nguvu za kiume ukiwa na swali au tatizo lolote nitafute kwa kunitafuta Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.MziziMkavu
Akhsante mkuu,. hivi kuna ukweli Kua Tatizo hili laweza sababisha mtu Kua na tumbo kubwa na pia kibamia (penis)??
Inasababishwa na nini mkuuChango la Wanaume ni Maradhi ya ngiri (Hernia) uvimbe chini ya Tumbo karibu na kinena kwa upande wa kulia na maradhi yakishuka yanakwenda mpaka kwenye pumbu moja haswa pumbu ya kulia na maradhi yanageuka kuwa ni busha angalia picha hapo chini. Na Ukiwa na Mshipa wa ngiri unakuwa pia na upungufu wa nguvu za kiume.
Maradhi ya ngiri................
Maradhi ya busha Pumbu moja kuvimba.
Ni Kweli ukiwa na tumbo kubwa unakuwa na kibamia au ukiwa unapiga punyeto uume wako utasinyaa na utakuwa na upungufu wa nguvu za kiume ukiwa na swali au tatizo lolote nitafute kwa kunitafuta Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.