Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,424
View attachment 1576572View attachment 1576585
View attachment 1576588
Choo kina kitu kinaitwa s-trap, ambayo inakuwa na maji 24/7 ili kuzuia harufu yoyote kuja ndani. Angalia kwa nje kama fundi wako aliweka vent pipe ambayo inazuia maji kwisha kwenye s-trap.
Pole sana hili tatizo in dogo sana na linatibika, inawezekana sinki likiwekwa vibaya Yale maji yanayozuia harufu kurudi ndani hayatuami vizuri au na pia inatakiwa kuwekwa bomba kwenye chemba ya nje lipande had I usawa was bati kusaidia kupunhuza harufu kutudi ndani
Tafuta Fundi bomba mzuri akague atakushauri cha kufanya mkuu
Asante kwa ushauri wakuu. Nilikuwa sijui kumbe yale maji pale chini ndo yanazuia harufu kuja ndani duuh? Baasi inaelekea hiyo sehemu ya kuweka hayo maji ndo kuna shidaJe bomba la nje halijaziba? Je maji kwenye choo yanabaki na kuzuia harufu toga kwenye shimo?
Ni cha kuflash mkuuUnatakiwa utuelekeze aina ya vyoo vulivyopo hapo kwenu
Pamoja mkuuAngalia maji kwenye choo kama yanakaa.
Angalia bomba la kutolea hewa nje kama lipo.
Solution ya muda mfupi ila hatari kwa watoto, fungua chemba ndogo moja hewa iwe inatokea huko na uifunike na mesh wire while you are looking for a permanent solution.
Ni cha kuflash mkuu
Ni kweli mkuu, kuna shida kuchanganya?System ya choo na maji ya kuongea, maji ya msuaki na maji ya kuoshea vyombo jikoni umechanganya pamoja. Yaani umechimba shimo 1 ambalo linapokea maji ya kuflash choo, maji ya kuongea, maji ya msuaki na maji ya kuoshea vyombo jikon.
Kuna shida kubwa hapo wataalum wanasema unapounganisha kwa pamoja hiyo system ya maji unafanya Karo libakuwe na kutoa harufu kali. Ni Sawa Sawa na mtu anayebakuwa Kuna gesi anatoa.Ni kweli mkuu, kuna shida kuchanganya?
Wasiweke zile chemba za nje zile ndo zinahalibu mambo, mbona magorofa hayana hizo chemba, waswahili mmefundishwa na nani kuweka chemba nje kila choo, mimi ziliwekwa bomba kutoka chooni zikaenda kwenye septic moja kwa moja, na hakuna yale mabomba mnayoweka kwenye kila choo yale yanapanda hadi juu ya bati, yale pia yanaleta hewa chafu tu kila kona ya nyumba, bomba la hivyo lipo kwenye septic tank tu, ndo shio linapumulia huko, sijawahi sikia harufu mbaya ndani.Hizi nyumba za kujenga kimasikini, unajikuta unatumia mafundi wenye uwezo wa kukaririshwa tu, matokeo yake ni gharama mara mbili.
Nyumba mbili nilizowahi kuishi(kupanga) zilisumbua sana kwa hilo tatizo, weka mabomba kila shimo na kwenye vijichemba lakini haikusaidia, maji yanayopaswa kutuama kwenye zile trap, yapo. Nikahama, nikahama na sasa nina shida hiyo tena