Tatizo la constipation

Tatizo la constipation

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Posts
11,880
Reaction score
10,372
vipi nitalimaliza wakuu, pamoja na tumbo kujaa gesi mara kwa mara.
 
vipi nitalimaliza wakuu, pamoja na tumbo kujaa gesi mara kwa mara.
Alafu jitahidi kila siku asubuhi wakati wa kuswaki achama mdomo toa ulimi nje pitisha mswaki hadi hapo kooni utapike hewa kama mara 3 hivi kwa mda wa siku 3 akimalaza lete mrejesho hapa
 
Back
Top Bottom