Aiseeee hili tatizo linanisumbua kweli nimeambiwa damu imezidi kiwango badala ya kuwa 85% imefikia mpaka 132%.
Sasa inaonekana nishakuwa ngombe wa kubeba midamu yote hiyo.
Na kibaya zaidi kichwa kinasumbua kwel mara kwa mara mpaka kuongea inakua tatizo.
Sijui nfanyaje wadau nisaidieni.
umri wangu ni miaka isiyozidi 30 na huwa napendlea kula vyakula vya kawaida tu km wali ugali na tambi au nyama na tatizo lina wiki ya pili sasa lakin hapo mwanzo nilikuwa nasumbuliwa na kutokwa na dam puan mara kwa mara lakini tatizo hilo likaacha