Duuuh bas poleee.Kazi zangu zinahitaji browser, kwenye app sitoboi!
Inafunguka mbona nimetoka kuifungua sasa hivi kuthibitisha madai yako nimeifungua kupitia browser ya chrome kwa pc na natumia internet ya vodaApp hata kwangu inafunguka, tatizo ni kwenye browser kwa tunaotumia pc!