Tatizo la fangasi lilivyoathiri ngozi ya korodani

Caizer

New Member
Joined
Oct 28, 2024
Posts
2
Reaction score
0
Habari wana jamii

Nasumbuliwa na tatizo la fangusi kwenye korodani na nilipata baada ya kukutana na mwanamke mwenye tatizo hilo apo ndipo nilipoaanza kuwasha mikono na mapajani sasa hivi nawashwa kwenye korodani na kuna mabaka kama ya kuugua hivi... Na ngozi ya korodani kuwa nyeupee sana na laini hadi pembezoni mwa mapaja

Tatito lilianza mwezi wa 7 mpka sasa na sijakutana na mwanamke toka mwezi huo mpka leo na hofu sana nimepima damu niliambia nina bactria kwenye damu

Nakosana raha ifikapo usiku nawashwa sanaa yani nakosana raha naomba ushauri wenu
 
Habari wana jamii
nasumbuliwa na tatizo la fangusi kwenye korodani na nilipata baada ya kukutana na mwanamke mwenye tatizo hilo apo ndipo nilipoaanza kuwasha mikono na mapajani sasa hivi nawashwa kwenye korodani na kuna mabaka kama ya kuugua hivi... Na ngozi ya korodani kuwa nyeupee sana na laini hadi pembezoni mwa mapaja

Tatito lilianza mwezi wa 7 mpka sasa na sijakutana na mwanamke toka mwezi huo mpka leo na hofu sana nimepima damu niliambia nina bactria kwenye damu

Nakosana raha ifikapo usiku nawashwa sanaa yani nakosana raha naomba ushauri wenu

View attachment 3139791
Pole sana.

Kwanza kabisa ni nadra sana kwa mwanaume kupata maambukizi ya fangasi kwenye korodani.

Mara nyingi upungufu wa virutubisho fulani husababisha kutokea kwa vipele kwenye korodani ambazo wengi huchukulia na kutibu kama fungus.

Kama huli matunda na mbogamboga kwa wingi hiyo hali hukupata kwa kukosa vitamini na protini muhimu kwa ajili ya ngozi. Wengi hutumia dawa za kupaka na kupata nafuu lakini hali hurudi baada ya muda kwa sababu chanzo hakijashughulikiwa. Kwa hiyo ni muhimu sana kuangalia ulaji wako (kama unakula tu wanga kwa wingi bila matunda na mbogamboga) kabla ya kutibu tatizo hilo kama fungus.

Kama ulipata hivyo vipele kupitia mgusano ni vyema ukafika kwa daktari akukague vizuri ili upatiwe matibabu sahihi. Vinaweza kuashiria magonjwa mengine ya ngozi tofauti na fungus kwa hiyo fika hospital ukatibiwe. Kuna magonjwa ya zinaa ambayo hushambulia ngozi (mfano HSV nk).
Kila lakheri.
 
Shukuran dr
 
Back
Top Bottom