Tatizo la Feisal liko wapi?

We ndio huelewi kwani si alishaomba kuvunja yanga na tff hawataki,
Haya maamuzi sijui ya wapi
🚨 'FEI KAISHITAKI (TFF) sio YANGA!'

Msimamizi wa Feisal Salum, Bi. Jasmine Razack asubuhi hii amesema kuwa, tayari Feisal amelipa pesa ya awali na amefungua jalada katika mahakama ya (CAS).

Amesema, kwenye kesi hiyo, Feisal hajaishitaki YANGA huko CAS, ameishitaki (TFF) kwa kushindwa kuvunja mkataba wake na Yanga na kumuamuru arejee Yanga.

"Shauri ni baina ya (TFF) na Feisal. Hajawashitaki YANGA kwenye shauri alilofungua (CAS). Ameishitaki kamati ya sheria na hadhi za Wachezaji ya (TFF)"

©️ Jasmine Razack #binagoupdates
 
Basi kasha enda mwenzio
Safi sana, unajua ilikuwa inashangaza yaani kuna mkataba usiovunjwa? Ndoa ya kikatoriki yenyewe inavunjwa pamoja na masheria yoote 😀😀 onyango mwenyewe alitaka kusepa akachungulia mkataba wake akajikuta Gharama yake ni kama b 1 na nusu akanyuti, sembuse milioni 100 thamani ya feisal akailipa na kusepa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah
 
Kwenye mpira sio mikataba yote inaweza kuvunjwa. Kwa mujibu wa sheria za FIFA mchezaji ambae hajafikisha miaka 28 na hajatumikia club yake kwa misimu 3 akitaka kuvunja mkataba na club yake bila sababu ya msingi basi mwajiri au club inaweza kumkatalia kuvunja mkataba.

Msikariri tweets za Jasmine.
 

Ni Bushlawyer coz anamshauri vibaya Fei kisa tu mama yake Fei alimwambia amemsomesha fei kwa kuuza miguu ya kuku bila kuangalia uhuni aliofanya fei wa kuvunja mkataba facebook/instagram.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…