Tatizo la Figo kuwa na mawe

Tatizo la Figo kuwa na mawe

Zipo dawa zake za kupunguza na kayayusha hayo mawe .. zipo aina nyingi ila the more expensive ndo the more efficient it is.. cha muhimu ili kuepukana na matatizo ya kidney stones kunywa maji mengi.
 
Back
Top Bottom