shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,430
- 3,547
habar,
nimekuwa nikisumbuliwa kwa tatizo la figo kwa miezi 5 sasa kila nikipima napewa dawa lakin tatizo linaendelea dozi ikiisha, ninasumbuliwa sana na kuvimba miguu nilipima renal test mara ya mwisho ikaonyesha 204.4 creatinine nikapewa dawa zifuatazo.
1. lasix
2. preonsolone
3. amplix
4. ciprofloxin
nikaambiwa tatizo likiendela nikaonane na doctor muhimbili anaitwa dr. linda yeye ni mtaalamu wa figo, lakini kwa sasa nipo udom na ninafanya mitihani ya mwisho u.e naomba ushauri nitumie dawa gani tena au nifanyaje manake miguu bado inavimba na tatizo inaonekana limeendelea.
NB: nilichukua vipimo vya echo nipo sawa, x-ray kifua nipo sawa.
thanks in advance.