Mkuu
shalet Pole sana kwa hayo matatizo yako ya Figo nina dawa za aina 2 za Tiba Mbadala ukiweza moja kati ya hizo dawa 2 Tumia kwa muda wa siku kama 10 kisha nenda tena hospitali ukapime ili
kujuwa je bado una matatizo ya Figo? ukitumia Dawa moja kati ya hizo mbili kwa muda wa siku 10 na umekwenda
Hospitali wamekupima na kugunduwa bado unaumwa Figo tumia dawa ya pili siku 10 tena kisha nenda ukapime Figo kujuwa je bado unaumwa na hayo matatizo ya Figo? ukisha uje hapa unipe Feedback. Dawa zenyewe hizi hapa :
Dawa ya Figo Fanya hivi (1)
chukua ndevu za Mahidi mabichi achemshe kisha achuje maji yake yakishapoa anywe ujazo wa kikombe cha kahawa asubuhi na mchana kwa muda wa mwezi kwa uwezo Mwenyeeziş Mungu utapona.
Dawa ya Maradhi ya Figo (2) Dawa ya Maradhi ya Figo Kunywa mkojo wako mwenyewe kwa muda wa siku 10 tu zinatosha kila siku asubuhi ukinge mkojo wako mwenyewe kipimo cha glasi 1
kabla ya kula kitu unywe kisha ukae baada ya saa 1 unaweza kula chakula chako cha kawaida
ufanye hivyo kwa muda wa siku 10 kisha nenda Hopitali kwa Daktari kupima utakuta huna tena
Maradhi ya Figo Tumia hiyo Dawa kisha uje hapa unipe feedback.
Muhimu unapotumia Dawa zangu acha kutumia Dawa za hospitali Tafadhali sana usichanganye Dawa.
Mkuu
steveachi hujambo lakini? Habari za Masiku?