William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Tatizo limeanza kitambo nilionana na mafundi ila huku bariadi gari hizo ni chache na mafundi wanafanya kama kubahatisha tu.
Ni wiki mbili nilipitia mitandao mbali mbali ya nagari walishauri niagalie mfumo mzima wa eksoz na sensor zake na kugundua oxygen sensor iliyopo kwenye exsoz ilikuwa disconnected.
sasa nataka kubadili oxygen sensor niweke mpya na nozzles pia nataka kujua bei yake. gari haina Shida nyingine ya kiufundi zaidi ya ulaji Mafuta ushauri tafadhari