William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Watakuja wataalamuTatizo limeanza kitambo nilionana na mafundi ila huku bariadi gari hizo ni chache na mafundi wanafanya kama kubahatisha tu.
Ni wiki mbili nilipitia mitandao mbali mbali ya nagari walishauri niagalie mfumo mzima wa eksoz na sensor zake na kugundua oxygen sensor iliyopo kwenye exsoz ilikuwa disconnected.
sasa nataka kubadili oxygen sensor niweke mpya na nozzles pia nataka kujua bei yake. gari haina Shida nyingine ya kiufundi zaidi ya ulaji Mafuta ushauri tafadhari
Umeshapata ufumbuzi??Tatizo limeanza kitambo nilionana na mafundi ila huku bariadi gari hizo ni chache na mafundi wanafanya kama kubahatisha tu.
Ni wiki mbili nilipitia mitandao mbali mbali ya nagari walishauri niagalie mfumo mzima wa eksoz na sensor zake na kugundua oxygen sensor iliyopo kwenye exsoz ilikuwa disconnected.
sasa nataka kubadili oxygen sensor niweke mpya na nozzles pia nataka kujua bei yake. gari haina Shida nyingine ya kiufundi zaidi ya ulaji Mafuta ushauri tafadhari
Spacio new model ni NZ family kwa 1.5cc na ZZ family kwa 1.8 CC. Hizi ndo injini zinazotamba kwasasa, aweke ipi tena? πππBadilisha injini
Sent using Kirikuu
Spacio new model ni NZ family kwa 1.5cc na ZZ family kwa 1.8 CC. Hizi ndo injini zinazotamba kwasasa, aweke ipi tena? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha wachangiaji wengi hukatisha tamaa humu lakini wao hawana magari dah umemuwezaSpacio new model ni NZ family kwa 1.5cc na ZZ family kwa 1.8 CC. Hizi ndo injini zinazotamba kwasasa, aweke ipi tena? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbaya sana πππHahaha wachangiaji wengi hukatisha tamaa humu lakini wao hawana magari dah umemuweza
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka nozzle mpya, weka plag zile za sindano. Then tumia. Magali ya efi huwa shida zipo kwenye plug zaid na nozzleTatizo limeanza kitambo nilionana na mafundi ila huku bariadi gari hizo ni chache na mafundi wanafanya kama kubahatisha tu.