Habari wadau.
Nina kigari changu carina ti inafanya kazi kama tax.
Yapata wiki sasa gari inaishia gia no4, yaani haifiki no5. Wakati huohuo rpm inakuwa kubwa kupita kiasi.
Mf. Kwa speed ya 90kmh rpm inasoma 4.5 wakati 60kmh rpm iko 3.5.
Fundi aliniambia ni service ya gear box inahitajika. Nimefanya service ila holaah. Mwisho kanishauri ninunue gearbox mpya.
Wadau nipeni ushauri fundi gani mtaalamu wa hili tatizo