Habari wadau.
Nina kigari changu carina ti inafanya kazi kama tax.
Yapata wiki sasa gari inaishia gia no4, yaani haifiki no5. Wakati huohuo rpm inakuwa kubwa kupita kiasi.
Mf. Kwa speed ya 90kmh rpm inasoma 4.5 wakati 60kmh rpm iko 3.5.
Fundi aliniambia ni service ya gear box inahitajika. Nimefanya service ila holaah. Mwisho kanishauri ninunue gearbox mpya.
Wadau nipeni ushauri fundi gani mtaalamu wa hili tatizo
Service gani umefanya... tuanzie hapa.
Kafanye gearbox checkup kwenye mashine upate majibu ya uhakika
Carina ina gear 4. Hiyo gear namba tano unayoitaka wewe ni ya wapi?Habari wadau.
Nina kigari changu carina ti inafanya kazi kama tax.
Yapata wiki sasa gari inaishia gia no4, yaani haifiki no5. Wakati huohuo rpm inakuwa kubwa kupita kiasi.
Mf. Kwa speed ya 90kmh rpm inasoma 4.5 wakati 60kmh rpm iko 3.5.
Fundi aliniambia ni service ya gear box inahitajika. Nimefanya service ila holaah. Mwisho kanishauri ninunue gearbox mpya.
Wadau nipeni ushauri fundi gani mtaalamu wa hili tatizo
Mcheck huyu anashine ya kupimia gearbox yuko magomeni,no yake ni 0621221606Tafadhali nielekeze wataalamu wa checkup mkuu
OD zenu maybe zipo off ila weka kwenye mashine
Carina ina gear 4. Hiyo gear namba tano unayoitaka wewe ni ya wapi?
Kama gear zote nne zinaingia then shida iko kwenye mpangilio wa gear. Shift points zimehama probably. Ingekuwa ni toyota ya kuanzia 2003 ningekurekebishia.
Ila kabla ya kununua gearbox nyingine katafute control box nyingine kwanza ujaribu.
Mcheck huyu anashine ya kupimia gearbox yuko magomeni,no yake ni 0621221606