Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Engine oil level.Umesema nicheck level ya nn???
Kama iko chini mwite fundi amwage ueweke mwengine.Ok and then...........
Poleee mkuu,kama ni tatizo la muda mrefu na linatokea ukiwa unaendesha gari itakuwa ni issue ya pressure sensor..ila ikiwa ni mara ya kwanza kutokea na huko barabarani iegeshe gari pembeni ufanye troubleshooting kama uko salama kwenye engine au Laah.Habari wanabodi,gari langu limekuwa na tatizo la kuwaka taa ya oil,na inawaka na kuzima yaani kuna muda inablink na kuna muda inazima cjui tatizo ni nini,naomba msaada wa maelezo.
Asante sana,nitafanya kazi hiyo muda siyo mrefu.Usiogope mkuu,inaweza kuwa case ya kawaida kabisa...mara nyingi oil pressure inapokuwa chini hiyo taa inaweza kuwa inablink.... Sababu pia ni nyingi za oil pressure kuwa chini,kama uko barabarani for the time being unaweza kutroubleshoot mwenyewe hiyo kujua kama uko safe kwenye engine au laa.
cha kufanya Park gari sehemu nzuri,zima iache ipoee...Check oil level kwa kutumia hiyo dipstick,kama level iko sawa, Fungua mfuniko wa engine oil...kisha washa gari angalia kama hapo ulipotoa mfuniko kama oil inafika..utajuaa kwa kuona oil ikirukaruka...kama gari ikiwa silence oil hairuki ruki....kanyaga accelerator taratiiib kisha check kama oil inaruka ruka hapo....kama oil inarukaruka hapo ur safe unaweza ipeleka gari gereji ikachekiwe pressure sensor na viscosity ya hiyo oil inaweza kuwa imechoka sana....kama oil hairuki ruki hapo ulipotoa mfuniko,its bad sign...usiendeshe gari unaweza kuiharibu engine...mwite fundi acheki tatizo.
Mkuu kama oil hairuki ruki pale kwenye oil cap,ina maana ya kwamba huo mzunguko wa oil haukamiliki na hiyo ni very risk kudrive katika hali hiyo....Tafadhari tafuta fundi akusaidie kujua tatizo ni nini.Aisee nimejaribu kucheck cjaona matokeo,nimeangalia oil ipo mpaka kwenye full lakini nikifungua pale hairuki ruki pia nikikanyaga accelerator pia hairuki nikajua ni kwa sababu stick za toyota corolla ni ndefu sana na oil ni nzito kidogo