baharia 1
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 1,580
- 1,773
Habari mafundi humu
Natumia gari aina ya verosa ilikuwa ipo vizuri kabisa
Juzi kati nikafunga android tv town huko sasa wakati naludi hendiketa zikakata ghafla zikawa haziwaki zote, kesho yake nikampa fundi alkebishe kuna fundi wa mtaani kwetu akafanikiwa taa zikawa safi, sasa analudisha gari nakagua gari naona taa ya chek injini inawaka nikamwambia vipi mzee taa hii, dah kaangaika nayo sana kaishindwa nikamwmbia achana nayo siku kama mbili hivi nikawaita wale mafundi waliofunga ile android tv kawaset pale ile taa ya chek ikazima wakasepa zao.
Sasa natoka sijafika mbali taa ya chek injin ikawa inawaka huku inakata kata yan inabweza nikipiga matuta taa inazima inawaka kila nikipiga tuta daah nikaachana nayo.
Sasa juzi tena hediketa zikaludia kuzima nikamuita yule fundi maana yupo hapa mtaani karibu kalkebisha kama mwanzo zikakubali, sasa kaaribu tena tatizo lingine nilock gari na funguo kwa nje milango mingine yote hailock unalock mmoja tuh wadereva ambao nimefunga na funguo, kama milango mingine haijalockiwa inabidi niweke switch on nilokie kwa ndani pale kwa dereva. naombeni ushauli mafundi
KIFUPI ZAIDI [emoji116]
Aina ya Gari: Toyota Verossa
Tatizo:
Hendiketa Zikakata: Baada ya kufunga Android TV, hendiketa za gari zilikata ghafla.
Taa ya Check Engine: Taa ya check engine inawaka na kuzima kila gari linapopiga matuta.
Kufunga Milango: Mlango wa dereva tu ndio unalock kwa kutumia funguo. Milango mingine inabidi ifungwe kwa ndani kwa kutumia switch.
Hatua Zilizochukuliwa:
Fundi wa mtaani alirekebisha hendiketa.
Mafundi wa Android TV walizima taa ya check engine, lakini tatizo likarudi.
USHAURI