Tatizo la gari yangu ni kuwa inachanganya oil na diesel

Tatizo la gari yangu ni kuwa inachanganya oil na diesel

GITWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
1,572
Reaction score
1,781
Heshima kwenu.

Tatizo la gari yangu ni kuwa inachanganya oil na diesel. Yaani diesel inaingia kwenye oil.

Gari ni aina ya FUSO. Naomba msaada wa maarifa
 
awaiting for aid
 
Heshima kwenu.

Tatizo la gari yangu ni kuwa inachanganya oil na diesel. Yaani diesel inaingia kwenye oil.

Gari ni aina ya FUSO. Naomba msaada wa maarifa
UZA NUNUA LINGINE
 
aliyesuggest na kununua ni fundi pump hivyo mimi nilitoa pesa na kusimamia ifungwe. Labda nifatilie tena kujua ni aina gani?

Kama kuna aina nzuri unayoifahamu nijulishe mkuu.
 
Toa hizo nozzles ndani kuna copper sleeves ndio ninazo pitisha diesel kwend kwenye sample ya oil.
 
Back
Top Bottom