Tatizo la Gear kunasa kwenye "D"

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,496
Kuna gari hapa nyumbani, imenasa kwenye "D".

Ile gear lever ni laini, inasogea mwanzo mwisho ila pale kwenye Dashboard imenasa kwenye "D".

Shida inaweza kuwa ni ipi?

Nani ameshakutana na tatizo kama hili? Na umelitatua vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toyota Harrier.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii changamoto imewahi nitesa sana ila utatuzi wake ni mdogo mnooo,ishu hapo ni waya wa sensor either umelegea unashindwa kutuma signal na mara nyingine unaweza pelekea ufunguo usikubali kutoka kwenye switch,siala la gear lever kutembea siyo ishu,ishu ni kwamba unakuta inatembea from parking to drive Bila kukanyaga break,hii inachangiwa na ki lock hapo kwenye gear lever kuchomoka.
NB.Mara nyingi hizi issues huchangiwa na mafundi wa alarm.
 
Nimeshalitatua.

Kuna kidude kimefyatuka.

Niliangalia tatizo youtube, nikajaribu kufix imekubali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…