Tatizo la genital fungus sugu

phantomX

Member
Joined
Jul 22, 2015
Posts
15
Reaction score
16
Aiseee!!! Yamenifika hapa.

Nimekuwa nikisumbuliwa na genital fungus for almost 5 years now, yani kila dawa ninayopaka inanipa relief tu na sio kunitibu, nimewahi kunywa fluconazole ya mwezi mzima lakini wapi, nikaja kutumia griseofulvin ya mwezi pia lakini wapi.

Nilijaribu kwenda kwa specialist wa ngozi pale Regency lakini ni ignorant anajifanya anadharau yani yeye ni aina ile ya watu ambao wanajifanya wanajua kitu kabla hata hujawaambia eti anasema sio fungus matokeo yake ananipa midawa ya kupaka ya ajabu ajabu tu ambayo inaniumiza ngozi tu.

Hivyo kama kuna mtaalamu hapa naomba msaada au kama mnajua wapi ntampata specialist mzuri muelewa naomba tujuzane
 
Huyo dokta bingwa wa Regency alisema sio fungus bali ni nini??

Je unapomaliza kujisaidia na kutawadha (kuchamba) huwa unajifuta na kujikausha vizuri maeneo yote ya nyeti kabla ya Kuvaa boxer yako?

Kama huwa unavaa boxer huku nyeti zikiwa na unyevunyevu ni vigumu fungus kupona!!
 
hivi ukiwa unashinda kazini unajifutaje?
 
Sina uhakika kama bongo zipo, lakini jaribu kwenye maduka ya madawa hii
NIGELLA SATIVA CREAM.
 
Hahahaha mkuu umetisha asante kwa kumuelezea bwn mzizimkavu
 
Docta yeye anasema ni michubuko tu eti inasababishwa na joto sasa sijui hilo joto limeniandama mimi tu.... Yani katika suala la usafi ninajitahidi sana nahakikishaga nimejifuta na kuwa mkavu kabisa ndio nivae boxer ila bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…