Tatizo la ghafla la nguvu za kiume kupungua (kukosa hamu ya tendo la ndoa)

king kakaa

Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
25
Reaction score
79
Niende kwenye Topic muhimu direct mimi King Kakaa na rafiki yangu tulie shibana sana jina Kapuni.

Rafiki yangu huyo naishi nae jirani hapa mjini ila Mkewe mwajiriwa Mkoa mwingine tofauti na mumewe sasa Jana jioni bila kunificha alianza kunieleza yanayo msibu.

Yeye ni Mtu wa Totoz sana sasa mbali na Mke wake ana wanawake wengine kama wa4 nawote ana wafanya kama wake zake na tendo hufanya haswa na sifa yake kubwa kwa Wanawake wake ilikua ni uwezo wake wakufanya sex na kuweza kuwa pagawisha wadada.

Sasa juzi Ijumaa Mkewe alirudi na kuja toka Mkoani na alikua amemaliza 40 toka alipo jifungua mkewe alimis tendo kutoka kwa mume wake ikabid a mwambie mumewe afanye chaajabu kidume yule mpaka napandisha uzi hapa mashine yake haijasimama na j5 kuamkia alhamis Ali toka kulala na mmoja wa mademu zake.

Sasa aliniomba ushauri kama mshikaji wake na aliniomba ni mchekie dawa nilifanya kwa nafasi yangu ila nikashindwa kumfanikishia.

Nikaona nipite kwenye jukwaa mana kwenye watu hapa kos jambo kama mwenye kujua naomba tumapmbanie kijana mwenzetu.
 
Atafute mwanamke wa pembeni aone kama bado imelala. Ajaribu hata 3 kama bado imelala.
Itakuwa shida mahali.
 
Ukiwa mkweli nitakupa suluhisho ila kama ni ndugu yako huyo mwambie aje aweke uzi hapa ili maswali atakapoulizwa ajibu kwa ufasaha.

Kuna maswali hauwezi yajibu kwasababu wewe sio mhusika, mlete mhusika kwa acc yake aje na shida yake aulizwe maswali apatiwe msaada.
 
Nyuzi za nmna hii zimekuwa nyingi sana kipindi hiki cha baridi vijana hamkoki moto vizuri
 
ukiwa mkweli nitakupa suluhisho ila kama ni ndugu yako huyo mwambie aje aweke uzi hapa ili maswali atakapoulizwa ajibu kwa ufasaha.
kuna maswali hauwezi yajibu kwasababu wewe sio mhusika,
mlete mhusika kwa acc yake aje na shida yake aulizwe maswali apatiwe msaada

Ni jamaa yangu kabisa na hata mambo ya JF haya jui suluhisho ni kumsaidia ningekua mimi nisinge sita kujisemea kwani hakuna ubaya wowote kujisemea tatizo lako tena hata sura na jina halisi sijulikani ningeogopa nini Mkuu

Tumsaidie kijana mwenzetu ndoa yake ipo pabaya mkewe anamuwazia kumuacha
 
Niende kwenye Topic muhimu direct mimi King Kakaa na rafiki yangu tulie shibana sana jina Kapuni.

Rafiki yangu huyo naishi nae jirani hapa mjini ila Mkewe mwajiriwa Mkoa mwingine tofauti na mumewe sasa Jana jioni bila kunificha alianza kunieleza yanayo msibu.

Yeye ni Mtu wa Totoz sana sasa mbali na Mke wake ana wanawake wengine kama wa4 nawote ana wafanya kama wake zake na tendo hufanya haswa na sifa yake kubwa kwa Wanawake wake ilikua ni uwezo wake wakufanya sex na kuweza kuwa pagawisha wadada.

Sasa juzi Ijumaa Mkewe alirudi na kuja toka Mkoani na alikua amemaliza 40 toka alipo jifungua mkewe alimis tendo kutoka kwa mume wake ikabid a mwambie mumewe afanye chaajabu kidume yule mpaka napandisha uzi hapa mashine yake haijasimama na j5 kuamkia alhamis Ali toka kulala na mmoja wa mademu zake.

Sasa aliniomba ushauri kama mshikaji wake na aliniomba ni mchekie dawa nilifanya kwa nafasi yangu ila nikashindwa kumfanikishia.

Nikaona nipite kwenye jukwaa mana kwenye watu hapa kos jambo kama mwenye kujua naomba tumapmbanie kijana mwenzetu.
Tatizo la nguvu za kiume linakuzwa sana kwa Sababu ya zinaa, ila ingekewa kwa ajili ya mke wa ndoa tu wala hizi shida nyingi zisingekuwepo.

Nguvu unayotakiwa uitunze kwa ajili ya mke wako unaigawagawa kwa wengine 2... sasa hapo unategemea nn!!
Jambo la muhimu ni kuwa na nguvu zinazomtosha mke wako tu si lazima kusikiliza mitandaoni kuhusu kumridhisha mwanamke, kipimo sahihi kipo kwa mke wako. Hapa namaanisha wapo wanawake wanaridhika na bao moja tu na hawataki tena na ww unatafuta dawa upige bao 4 za nn!!??
 
Hizo za ghafla sijui shida waga ni nini,, nyingi zinatokana na sababu flani
 
Tatizo la nguvu za kiume linakuzwa sana kwa Sababu ya zinaa, ila ingekewa kwa ajili ya mke wa ndoa tu wala hizi shida nyingi zisingekuwepo.

Nguvu unayotakiwa uitunze kwa ajili ya mke wako unaigawagawa kwa wengine 2... sasa hapo unategemea nn!!
Jambo la muhimu ni kuwa na nguvu zinazomtosha mke wako tu si lazima kusikiliza mitandaoni kuhusu kumridhisha mwanamke, kipimo sahihi kipo kwa mke wako. Hapa namaanisha wapo wanawake wanaridhika na bao moja tu na hawataki tena na ww unatafuta dawa upige bao 4 za nn!!??
u nailed it mkuu, huo ndo ukweli!!!
 
Ukiwa mkweli nitakupa suluhisho ila kama ni ndugu yako huyo mwambie aje aweke uzi hapa ili maswali atakapoulizwa ajibu kwa ufasaha.

Kuna maswali hauwezi yajibu kwasababu wewe sio mhusika, mlete mhusika kwa acc yake aje na shida yake aulizwe maswali apatiwe msaada.

Mtoa mada zingatia hii ☝.
Kuna masuala ya msingi ambayo yanaweza kusaidia kwenye kulijua na kulitatua tatizo, wewe binafsi hutaweza kuyajibu.
Mfano:
1: Aliwekeza nguvu kiasi gani kwenye mechi ya mwisho? /Uchovu
2: Kuna mabadiliko yoyote aliyoyaona kwa mkewe ambayo hayakumpendeza/hakuyatarajia?
3: Any stress??
4: Ujio wa kazi isiyotarajiwa??
5: .............👇
 
Back
Top Bottom