George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Pole Sana ndugu Mimi dingi yangu alikufa Kwa ugonjwa wa kisukari mwishoni mwa 1997 pia alipataga kidonda kama Hicho mguuni . Kidonda hakikuponaga ingawa alikuwa na mkwanja mrefu Ila Kwa sasa mtu ukiwa na cash unatravel kwenye developed countries kupata tiba Kwa bongo bado technology yetu ndogoHabari zenu wakuu?
Leo nimeenda kumuangalia Aunt yangu ambaye anasumbuliwa na kisukari,ana hali mbaya sana wakuu!
Ana kidonda kikubwa sana mguuni,usiku hapati usingizi kabisa.
Naombeni maoni yenu wakuu,ni namna gani naweza kumsaidia Aunt yangu?
Anateseka sana wakuu.
Kidonda chake ndio kinanipa wasiwasi sana.
Pole sana kiongozi....hilo tatizo hata baba angu alikuwa nalo,mzee wangu anaumwa kisukari na akapata ajali ya pikpik iliyomsababishia vidonda,kuna muda mguu ulioza wote....Habari zenu wakuu?
Leo nimeenda kumuangalia Aunt yangu ambaye anasumbuliwa na kisukari,ana hali mbaya sana wakuu!
Ana kidonda kikubwa sana mguuni,usiku hapati usingizi kabisa.
Naombeni maoni yenu wakuu,ni namna gani naweza kumsaidia Aunt yangu?
Anateseka sana wakuu.
Kidonda chake ndio kinanipa wasiwasi sana.
Asante sana,nitafikisha ushauri huu kwa mgonjwa..!Chakula kizuri kwa wenye sukari kwa hapa kwetu ni ndizi mbichi na mboga mboga. Apime sukari kila baada ya kula, aache pombe kabisa. Azingatie kunywa dawa kama alivyoshauriwa na daktari.
Haukuleta mrejesho Kiongozi..!Kwanza Natanguliza shukrani zangu kwenu kwa jinsi mlivyotoa ushaurii nasaha bila kumkwaza mgonjwa wangu mbarikiwe sana sana .Jana ndio ameanza Ile dose ya bamia ,Ndugu zanguni embu tupeni two weeks tulete marejesho ndugu zanguni ,Asanteni sana naomba muendeelee na ushaurii bila kukoma ,.Kwa Tanzania bila ugali na wali utakula nini jamani ,kwa ukweli ameacha sembe sasa anakula Donna .na mboga za Majani ,
tatizo kubwa sisi hatujajua kwanini tunaumwa kisukari, hatujui chanzo ndo maana tunapoteza nguvu na muda kwa vitu visivyo sahihi, kitu hahihi ni kutibu kongosho ambayo inaregulate sukkari ka tunashindwa tuepukane na sukariKisukari hakitibiwi kwa kula bamia. Huyu mgonjwa akiendelea hivi atakuja kupata avitaminosis ambapo atapata shida nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuukata mguu wa mtu wa kisukari ni hatari zaidi ya hatari yenyewe. Cha muhimu apunguze kula vitu vya sukari.Pole sana mkuu kwa kuuguliwa na Aunt.
Hakuna dawa ya moja kwa moja kitibu kidonda cha kisukari isipokuwa ni kuhakikisha kwamba sukari ya aunt isizd kwenye damu.Na sile kabisa vitu vya sukari.
Kimsingi huwa vinasumbua sana kiasi cha kupelekea kukatwa mguu saa zingine.
Sent using Jamii Forums mobile app