Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Ukiachiwa nguo wewe ujue una bahati na wamekupenda,mara nyingi ni kama ulivyo zaliwa😂😂😂sasa mzee baba unajikuta dushe liko kusini wewe uko mashariki ya mbali daah,inabidi kujipanga na weweKama mambo yenyewe yako hivyo itabidi niingie kwe fani hiyo aisee, ila naskia kuna ku testiwa!! Hukawii kujikuta asubuhi upo juu ya bati na nguo za kulalia😂😂😂
Hapa lazima Mshana Jr ahusike. Anipatie tuition angalau ya masaa mawili kwa siku lakini anipe kwanza kinga nisije kuonyesha sinema ya bure kwenye paa la nyumba😂😂😂Ukiachiwa nguo wewe ujue una bahati na wamekupenda,mara nyingi ni kama ulivyo zaliwa😂😂😂sasa mzee baba unajikuta dushe liko kusini wewe uko mashariki ya mbali daah,inabidi kujipanga na wewe
Unaikoroha na sukari? Maana juisi ya ukwaju kavu kavu hainyweki.Ewe ndugu yangu, unayehangaika na Kisukari, wee rafiki unayejua jamaa yako. Ndugu n.k ana KISUKARI.
huu ugonjwa una mateso sana nadhani mnaelewa.
LEO sitozungumza chochote kitaalamu kuhusiana na matibabu ya Kisukari, kwa sababu najua mmeshazunguka sana tu.
NAWASIHI NA KUWAOMBA, TUMIENI UKWAJU UKWAJU UKWAJU, UKWAJU UMEWEZA KUNIPA MREJESHO KWA WATU NILOWASHAURI.
TUMIENI UKWAJU UKWAJU.. SIHITAJI CHOCHOTE WALA NINI..NMEAMUA KUWASAIDIA, TUMIENI UKWAJU ,HUU UKWAJU MCHACHU WA SOKONI HUUU !!!
DOZI...
Andaa Lita tano za juice ya ukwaju... Kunywa Glass moja, asubuh kabla ya mlo...kisha moja mchana..kisha moja jion kwa siku tano...
Hope mpaka hapo uraona mabadiliko. Baada ya hapo TUMIA JUICE YA UKWAJU KAMA SEHEM YAKO YA KILA SIKU !!!.....hautokaa ukimbizwe hospital kisa KISUKARI
msisahau kuleta mrejesho ili kua ushuhuda kwa wengine !!.....
😂😂😂😂😂Hapa lazima Mshana Jr ahusike. Anipatie tuition angalau ya masaa mawili kwa siku lakini anipe kwanza kinga nisije kuonyesha sinema ya bure kwenye paa la nyumba😂😂😂
Kama huna ushirikina ni tapeli, mchawi hakuwezi. Kwa sababu inabidi uwe mshirina ili ushirikina ukupate.Hapa lazima Mshana Jr ahusike. Anipatie tuition angalau ya masaa mawili kwa siku lakini anipe kwanza kinga nisije kuonyesha sinema ya bure kwenye paa la nyumba[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe ndio hivyo mkuu!? Na wale wanaonunua lakini hawakua na asili nao inakuwaje?Kama huna ushirikina ni tapeli, mchawi hakuwezi. Kwa sababu inabidi uwe mshirina ili ushirikina ukupate.
Ukwaju
Tiba ya vingi
Ahsante kutukumbusha.
Nmeshaweka..
Uzi umefungwa !!
Ewe ndugu yangu, unayehangaika na Kisukari, wee rafiki unayejua jamaa yako. Ndugu n.k ana KISUKARI.
huu ugonjwa una mateso sana nadhani mnaelewa.
LEO sitozungumza chochote kitaalamu kuhusiana na matibabu ya Kisukari, kwa sababu najua mmeshazunguka sana tu.
NAWASIHI NA KUWAOMBA, TUMIENI UKWAJU UKWAJU UKWAJU, UKWAJU UMEWEZA KUNIPA MREJESHO KWA WATU NILOWASHAURI.
TUMIENI UKWAJU UKWAJU.. SIHITAJI CHOCHOTE WALA NINI..NMEAMUA KUWASAIDIA, TUMIENI UKWAJU ,HUU UKWAJU MCHACHU WA SOKONI HUUU !!!
DOZI...
Andaa Lita tano za juice ya ukwaju... Kunywa Glass moja, asubuh kabla ya mlo...kisha moja mchana..kisha moja jion kwa siku tano...
Hope mpaka hapo uraona mabadiliko. Baada ya hapo TUMIA JUICE YA UKWAJU KAMA SEHEM YAKO YA KILA SIKU !!!.....hautokaa ukimbizwe hospital kisa KISUKARI
msisahau kuleta mrejesho ili kua ushuhuda kwa wengine !!.....
hujui kuandaa jiuce mkuu,soma vzr maelezo yake,,maswali ulouliza yote kayaeleza vzr sana,umeambiwa andaa lt 5 za juice ya ukwaju [hujui inaandaliwaje hiyo ni ishu yako,tafuta maelezo ya kuansaa youtube],..matumizi yake keshakuambia kunywa glass 1 asbh kabla ya chai,then 1 mchana na moja ucku.sioni km kulikua na haja ya kuuliza tena badala yake labda tu kuijaribu na kuleta mrejesho hapa- Je unaandaliwa vipi huu ukwaju? na
- Matumizi yake yako vipi kama tiba ya kisukari?
- Kiasi gani kinatumika?
- Mara ngapi kwa siku?
My Take
- Ahsante kwa ku_share nasi.
Iko hivihujui kuandaa jiuce mkuu,soma vzr maelezo yake,,maswali ulouliza yote kayaeleza vzr sana,umeambiwa andaa lt 5 za juice ya ukwaju [hujui inaandaliwaje hiyo ni ishu yako,tafuta maelezo ya kuansaa youtube],..matumizi yake keshakuambia kunywa glass 1 asbh kabla ya chai,then 1 mchana na moja ucku.sioni km kulikua na haja ya kuuliza tena badala yake labda tu kuijaribu na kuleta mrejesho hapa
Unavyosema kula ukwaju huna scientific proof yoyote ile unaweza jikuta unaharibu watu.
Sasa ngoja nikupe sayansi ya ukwaju ili uelewe, na kumbuka kinachofanya kazi kwako si lazima kifanye kwa mwingine sababu watu miili yetu inatofautiana. Ukwaju unaweza punguza sukari iliyopo mwilini, kumbuka kuna diabetes tofauti, upungufu wa sukari na kua na excess. Unavyotumia vitu havijapimwa unawaambia watu watengeneze juice ya ukwaju lita kadhaa wanywe daily unawahiribia diet, wanaweza wakashuka wakapitiliza wakaanguka wakafa, haya mafunzo yenu mnayotoa bila kufanya research yoyote kaeni nayo wenyewe msije kutuulia watu bure.
okay,,hapo nimekuelewa vzr boss,kumbe mwandiko wako ndo ulimsanua akaongezea dozi,,kuwahi kuusoma uzi mapema napo kuna raha yake kumbe,...shukran mkuu na pia samahani kwa mwandiko nilouandika kabla,....ila pia uko na ustaarabu sana..angekua mwingine hapo angeniteremshia mwandiko mchafu kinyama...thank u man..and have a gnightIko hivi
- Alipost kwanza maelezo ya awali - bila kuweka maelezo ambayo yako sasa.
- Angalia kwa umakini mistari niliyo m_quote. ndipo alipokuwa ameishia kuandika, kabla ya ku edit na kuongeza kipengele cha DOZI, yamkini ni kufuatia swali (/ maswali ) langu ndipo akakamilisha kama isomekavyo sasa.
- Ndugu bongonyoo tuko pamoja, na uwe na siku njema.
Hapana kavu kavu yenyewe..ndio maana nmesema.Unaikoroha na sukari? Maana juisi ya ukwaju kavu kavu hainyweki.
Usiweke sukari mkuuu.Mkuu naomba maelekezo ya ziada kidogo. Hiyo juice iwe plane yani isiwe na sukari? na je iwe nzito kwa maana ya kali au nyepesi mzimuo wa maji uwe mwingi?
Uchawi ni uchawi tu, haijalishi mtu kaupatajeKumbe ndio hivyo mkuu!? Na wale wanaonunua lakini hawakua na asili nao inakuwaje?