BLESSED BOY
Member
- Sep 2, 2017
- 78
- 71
KAMA UNAAMNI, tafuta sehemu ambapo pana Mungu wa kweli kaombewe. Nimejionea mwenyewe mahali watu wakipona kisukari, hiv, tb nk. Hakuna lisilowezekana kwa Mungu.Habari Leo wadau naomba msaada as wadau kuhusu ugonjwa kisukari.nimeangaika kila kona nimekunywakaribu dawa nyingi na nimetumia hela nyingi sana mpk sasa nimekata tamaa naona nasubiri tu kudra za mungu manake hela tena sina sukari ipo juu kushuka ni mpk dawaza hospital inashuka kidogo tu.naomba msaada jamani sukari inanitesa nimeisha nimebaki skeleton
Wewe ndo una muuwa mwenzakooo.KAMA UNAAMNI, tafuta sehemu ambapo pana Mungu wa kweli kaombewe. Nimejionea mwenyewe mahali watu wakipona kisukari, hiv, tb nk. Hakuna lisilowezekana kwa Mungu.
Mwaka wa 6 sasaUna muda gani toka ugundulike una kisukari mkuu
na mimi sizungumzii habari ya matumaini au habari ya dawa, shida yake anataka kupona na kuwa mzima wa afya. mimi nimempa alternative b ambayo pia anaweza kupona kama ataona inamfaa. Kama ataona aimfai apotezee ila nimeona baadhi ya ndugu zangu wakiponywa na kurudi kupima tena hospitalini na kukuta hakuna ugonjwa. madaktari wanafanya kazi nzuri sana ambayo ni KUTIBU lakini MUNGU ANAPONYAWewe ndo una muuwa mwenzakooo.
Anaomba dawa sio matumainii.
Sent using mt4 app
Ingekuwa basi vyema ukamwambia ni wapi hapo naye akaponywe.na mimi sizungumzii habari ya matumaini au habari ya dawa, shida yake anataka kupona na kuwa mzima wa afya. mimi nimempa alternative b ambayo pia anaweza kupona kama ataona inamfaa. Kama ataona aimfai apotezee ila nimeona baadhi ya ndugu zangu wakiponywa na kurudi kupima tena hospitalini na kukuta hakuna ugonjwa. madaktari wanafanya kazi nzuri sana ambayo ni KUTIBU lakini MUNGU ANAPONYA
Nadhani itakuwa sahihi zaidi kama ukimshauri dawa au namna ya kuishi na huo ugonjwa.KAMA UNAAMNI, tafuta sehemu ambapo pana Mungu wa kweli kaombewe. Nimejionea mwenyewe mahali watu wakipona kisukari, hiv, tb nk. Hakuna lisilowezekana kwa Mungu.
Miaka 6 kwasasa ninao naangaika naoPole sana kiongozi, Kisukari ni chronic illness, na haina tiba yakuondosha ugonjwa mmoja kwa mmoja ila kuna dawa za kumaintain certain level za sukari mwilini.
Itakua vizuri ukisema hili tatizo umelipata muda gani, je umezaliwa nalo au umelipatia ukubwani. Hivi vitu vitasaidia kujua dawa ya kutumia kwa sababu zinatafautiana pia.
Mbali na matumizi ya dawa mgonjwa wa kisukari anashauriwa kufata chakula maalumu (diabetic plate), mazoez angalau kwa dakika 30 yatakayokutoa majasho.
kwa uchache.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu kwa changamoto, na afadhali ata umechukua maamuzi ya kuandika humu utapata msaada, binafsi nina baba yangu mkubwa ambae anaishi nayo kitambo sana, mwaka 2017 kilimsumbua sana akakonda na ata kuona ikawa kwa tabu sana bt akaunganishwa na dr mmoja hvi wa muhimbili kitengo cha tiba asili akapewa dawa flan hvi kwenye kidumu cha lita tano kwakweli imemsaidia mnooo,Habari Leo wadau naomba msaada as wadau kuhusu ugonjwa kisukari.nimeangaika kila kona nimekunywakaribu dawa nyingi na nimetumia hela nyingi sana mpk sasa nimekata tamaa naona nasubiri tu kudra za mungu manake hela tena sina sukari ipo juu kushuka ni mpk dawaza hospital inashuka kidogo tu.naomba msaada jamani sukari inanitesa nimeisha nimebaki skeleton
Habari Leo wadau naomba msaada as wadau kuhusu ugonjwa kisukari.nimeangaika kila kona nimekunywakaribu dawa nyingi na nimetumia hela nyingi sana mpk sasa nimekata tamaa naona nasubiri tu kudra za mungu manake hela tena sina sukari ipo juu kushuka ni mpk dawaza hospital inashuka kidogo tu.naomba msaada jamani sukari inanitesa nimeisha nimebaki skeleton
Kutumia dawa ni jambo jema sana, nlikua najaribu kumpa alternative B sababu furaha yake kubwa ni kupona na kua na afya njema. kanisa haliwezi sema acha dawa na umtegemee Mungu huko kutakua ni kukosa maarifa. Daktari ndiye mwenye idhini ya kumwamia mhusika aache dawa na si makanisa. Any way, tuishie hapoNadhani itakuwa sahihi zaidi kama ukimshauri dawa au namna ya kuishi na huo ugonjwa.
Huko makanisani wanaweza mwambie aache dawa amtegemee Mungu mwisho wa siku mambo yatakuwa si mazuri.
Rejea maombi ya siku tatu dhidi ya Corona yamesaidia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhusika akiguswa na kuona ushauri wangu unamfaa atanicheki, just relaxIngekuwa basi vyema ukamwambia ni wapi hapo naye akaponywe.
43
NAOMBA pleaseSo naweza nikakuunganisha nae akakuunganisha na dr wake ukapata hyo dawa naamin utarudi kunishukuru, ni dr wa muhimbili hospital kitengo cha tiba asili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutumia dawa ni jambo jema sana, nlikua najaribu kumpa alternative B sababu furaha yake kubwa ni kupona na kua na afya njema. kanisa haliwezi sema acha dawa na umtegemee Mungu huko kutakua ni kukosa maarifa. Daktari ndiye mwenye idhini ya kumwamia mhusika aache dawa na si makanisa. Any way, tuishie hapo