Sina muda sana mkuu huu mwezi wa 4Unaishi na sukari kwa muda gani mkuu
Pole. Meza tembe mbili za Panadol kabla ya kula lunch...Mimi ni muathirika wa ugonjwa wa Kisukari lakini kutoka na kufuata masharti na kutumia dawa za aina mbali mbali naona sukari iko normal kabla sijala inasoma tano nikiwa nmekula ni saba na vipoint
Shida ni kua mwili wangu bado umendea kua dhaifu sana, uchovu mwng yan bado sina aman nmeshapima typhoid, malaria na UTI zote hakuna....
Doctor nisaidie
Pole sana mkuu jaribu kujiunga na club za wagonjwa wa kisukari wakupe maujanja ya kuishi na huo ugonjwa maana kama ndio una miezi 4 toka uupate unaweza ukakupatia mawazo sana kiasi cha kuweza kuhisi kuwa huwezi kumaliza miezi 6 ukiwa nao ila ukishazoeana nao mbona unadunda tu lands mchawi wa sukari ni UKIMWISina muda sana mkuu huu mwezi wa 4
Asnte kwa ushaur mkuuPole sana mkuu jaribu kujiunga na club za wagonjwa wa kisukari wakupe maujanja ya kuishi na huo ugonjwa maana kama ndio una miezi 4 toka uupate unaweza ukakupatia mawazo sana kiasi cha kuweza kuhisi kuwa huwezi kumaliza miezi 6 ukiwa nao ila ukishazoeana nao mbona unadunda tu lands mchawi wa sukari ni UKIMWI
Mkuu inaonyesha bado unayo maradhi ya kisukari yanakusumbuwa. Nenda pia Hospitali ukapime Damu Full blood picture itaonyesha kitu gani kilicho punguwa mwilini mwako. na huenda pia una upungufu wamMadini au vitamin mwilini mwako. fuatilia vipimo kisha uje hapa utupe mrejesho wako.Kama hujapona Kisukari nitafute kwa wakati wako ili nipate kukutibia upate kupona uguwa pole.Mimi ni muathirika wa ugonjwa wa Kisukari lakini kutoka na kufuata masharti na kutumia dawa za aina mbali mbali naona sukari iko normal kabla sijala inasoma tano nikiwa nmekula ni saba na vipoint
Shida ni kua mwili wangu bado umendea kua dhaifu sana, uchovu mwng yan bado sina aman nmeshapima typhoid, malaria na UTI zote hakuna....
Doctor nisaidie
Kapime damu basi itaonyesha unayo maradhi gani?Mkuu hyo nishapima na waksema iko poa kabisaView attachment 1928973
Kwa kawaida Sukari inabidi ianzie 3.5 - 7.5mmol/LSukari kitaalamu inatakiwa kuwa ngapi mwilini?
Binafs nikinywa soda sukar inapanda mpaka 20,chai inapanda mpka 18 au 17
Nikiwa nimekula chakuna inakuwa around 13+
Kama sijala chochote ni 6 mpaka 7.
Naombeni ushauri wenu hapo nn cha kufanya.
Samahani mkuu rudia kusoma vizuri, SIO KWELIKwa kawaida Sukari inabidi ianzie 3.5 - 7.5mmol/L
Kwa mtu ambaye hajala chochote inabidi ianzie 3.5 - 5.5mmol/L na mtu ambaye ameshakula basi sukari kawaida huanzia 5.5 - 7.5mmol/L
Sukari ikiwa chini ya 3 ni kisukari cha kushuka, na sukari ikiwa zaidi ya 8 ni kisukari cha kupanda.
Note, ukiwa na sukari kuanzia 8 - 12mmol/L baada ya kula, ni rahisi zaidi kutibika bila kutumia dawa.
Iwe Dona isiwe Dona vyote ni hatari, watu wanaongopena Dona ni hatari tu, vyote ni wanga. Uzuri ni kwamba 8 hapo sukari bado unarudi kawaida faster, shukuru umefahamu kabla hujapata sukari
Dawa ya sukari kweli hakuna ni kufuata masharti ya kupunguza ulaji wa sukari na wangaWEKA HAPA KAMA SIO UTAPELI
Habari Wana JF,
Naomba kufahamishwa taasisi inayohusika na ugonjwa wa kisukari, jina lake na mahali ilipo kwa Tanzania.
NB: Nahitaji data na Elimu ya Diabetes kwa ujumla.